Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Wacha umbumbumbu,wapi ukiambiwa kwamba hela zinakopwa Kwa Ajili ya lots ulizotaja?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiona unasifiwa Sana basi Rudi chini ujitathamini kauli ya wahenga
Kuna sehemu wameacha nafasi kubwa Sana mzee hebu karibu kupita hio Barabara ukione🤣🤣🤣Ila hiyo barabara ni nyembamba lane sita hazienei!
Mtoto WA oilcom 🤣🤣🤣Mzee wa Oil com 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niambie mm hakuna mkopo WA hzo lot 3,4 and 6 😅😅😅😅😅Wacha umbumbumbu,wapi ukiambiwa kwamba hela zinakopwa Kwa Ajili ya lots ulizotaja?
My Take: Katika kitu kinanifurahisha na kunipa Raha ni kuona mnavyopata tabu na awamu ya 6 😁😁😁😁
Yule mwingine wa Umeme Yuko wapi? Alitumbuliwa au? 🤪🤪
Hivi hamna namna huyo tukamripoti kwa mods wampige pini kuingia kwenye huu uzi?Ujinga ujinga tu mnaendeleza, tunakuangalia tunakuona kama chizi mana hakuna asiyejua kama awamu hii inatembelea nyota ya awamu iliyopita, unaposema Tanzania kinara kuuza nyama nje kila mtu anajua sababu ni nini, lkn unapoweka # eti sababu ya mama tunakuona mpuuzi mmoja tu hivi, hizo nyama kama si ndege zilizolazimishwa kununuliwa na Magufuli mngelepeleka na mata.ko yenu? Wacha upumbavu wewe post kitu huna haja ya kuweka siasa humu ndani, sisi tutakubali kwasababu tupo hapa kwa ajili ya Tanzania, wacha utoto.
Ndio hakunaNiambie mm hakuna mkopo WA hzo lot 3,4 and 6 😅😅😅😅😅
Au hatukukopa pesa kwa ajili hzo lots??😅😅
Yule WA umeme aliwekwa na Nani??
Yale madaraja ya vingunguti,majumba 6 na gomes yashafunguliwa walihaidi 10 july kuyafungua yan jana?Ni upuuzi tu unaendelea mkuu, barabara haziishi miezi nenda rudi, huenda zisiishe mpaka 2030, alafu anakuja mpuuzi anaweka jengo moja la hospitali anaweka na # eti Samia kazi iendelee, hawa wasenge wachache ni wakupiga risasi.
Barabara zipi ambazo haziishi? Kapindue basi ukishindwa meza misumaliNi upuuzi tu unaendelea mkuu, barabara haziishi miezi nenda rudi, huenda zisiishe mpaka 2030, alafu anakuja mpuuzi anaweka jengo moja la hospitali anaweka na # eti Samia kazi iendelee, hawa wasenge wachache ni wakupiga risasi.
Kwani jf mods wanafanyia kazi chuki zenu binafsi? 🤪🤪🤪🤪🤪Hivi hamna namna huyo tukamripoti kwa mods wampige pini kuingia kwenye huu uzi?