Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizi babaji na bodaboda ni kero kwa kweli
Siasa tu. Na sasa mji wote umevamiwa na bajaji hado main roads. Sijui nani anatoa vibali kufanya route kwenye main roads.
Hii Morogoro road, Bagamoyo road, nyerere road hadi nawaonea huruma daladala. Bajaji wamechukua route za mwenge mbezi, mbezi buguruni, tegeta posta, nk
Serikali inapenda migomo yenyew. Muda si mrefu Daladala zitagoma kisa hizi bajaji.

Hizi Mainroads, na city centre yote, kariakoo na upanga, wangeruhusu watu wa bolt tu ( na iwe labelled tu) sio hawa wakawaida wanaofanya route fixed. Same us kwa bodaboda.
Bajaji na boda wafanye route huko mitaani sio main roads

Sijui ni nani kwanza anaruhusu importations ya hiz bajaji.
 
Usisahau pia unaweza kupwa katavi uliwe na boko
🤣🤣🤣🤣🤣 Yani hatari mzee na Hasa kama huna mwanasheria

Tumefika hatua kusifia ni lazima kama vile Kula chakula, watu wamegeuza uchawa ni ulaji SASA 🤣🤣🤣

Na kuna msemo unasema ukiona unasifiwa Sana basi Rudi chini ujitathmini 😅😅😅😅
 
hizi babaji na bodaboda ni kero kwa kweli
Nadhani kwasababu bado hakuna usafiri wa uhakika kwenda katikati ya jiji. Wameruhusu hivi ili kupunguza msongamano wa abiria kwenda mjini.

Na ukiangalia ujenzi wa barabara unafanyika kona zote za Dar. Usafiri huu unasaidia kwa sasa. Baada ya ujenzi kukamilika kila kitu kitarudi mahali pake after election.
 
N

Ngong road is the highway to AFCON headquarters, Talanta.. now do the comparison with the road towards Mkapa stadium and the surroundings….. make sure you don’t have any liquid in your mouth before checking it out 😂😂
Roads toward Mkapa
1. MANDELA ROAD dual carriageway with service roads both sides
2.KILWA ROAD 6 lane road plus service road both sides(2/6 BRT)
3.KAWAWA ROAD with BRT as well
Now compare Ngong road with any of those 3 roads.
Kuhusu surrounding Mkapa stadium imezungukwa na Kambi ya Jeshi,Teacher's college,Kambi ya Jeshi ingine na Chang'ombe. area.
 
Unataka view from the air.. the one that Tv viewers will see during AFCON… unfortunately CCM can’t control foreign TV companies beaming the matches or doing documentary .. unless you declare yourselves full Chinese way…. Let’s face the facts.. the aerial view will be shameful…🥲🥲😝😅
 
Hujui unachoongea. Mkopo hosted AFL watched all over Africa, the so called view is in your head.
 
Roads toward Mkapa
1. MANDELA ROAD dual carriageway with service roads both sides
2.KILWA ROAD 6 lane road plus service road both sides(2/6 BRT)
3.KAWAWA ROAD with BRT as well
Now compare Ngong road with any of those 3 roads.
Kuhusu surrounding Mkapa stadium imezungukwa na Kambi ya Jeshi,Teacher's college,Kambi ya Jeshi ingine na Chang'ombe. area.
Achana na hizi ng'ombe zitashangaa miradi ya BRT ikiisha! Ule mradi wa kujenga hoteli viwanja vya sabasaba uliishia wapi? Maana ungesaidia sana! Kama si Magufuli hii sehemu ingekuwa na hoteli ya at least nyota nne!
 
Back
Top Bottom