Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani vilivyokamilika havikuanza kazi? Au vilikiwa vimekamilika? Hujiulizi Kwa nini aliruka na kwenda kuanza Cha Mwanza?

Hivyo ndivyo priority zinakwenda.
Mm naulizia lot 3, 4 and 6 mzee baba 2 yrs now progress iko wapi??? Tunajisifu hapa tumekopa pesa sawa, haya tuoneshe project ziko wapi?? Zimefikia wapi??

Au tuendelee kusifia 😅😅😅😅😅
 
Mm naulizia lot 3, 4 and 6 mzee baba 2 yrs now progress iko wapi??? Tunajisifu hapa tumekopa pesa sawa, haya tuoneshe project ziko wapi?? Zimefikia wapi??

Au tuendelee kusifia 😅😅😅😅😅
Kwani ukiambiwa zimekopwa Kwa Ajili ya lots hizo za kwako?
 
Achana na hizi ng'ombe zitashangaa miradi ya BRT ikiisha! Ule mradi wa kujenga hoteli viwanja vya sabasaba uliishia wapi? Maana ungesaidia sana! Kama si Magufuli hii sehemu ingekuwa na hoteli ya at least nyota nne!
Nakumbuka mradi wa ujenzi wa hotel eneo la saba saba alilikataa magufuli akasema wakawekeze ktk viwanda
 
Ujinga ujinga tu mnaendeleza, tunakuangalia tunakuona kama chizi mana hakuna asiyejua kama awamu hii inatembelea nyota ya awamu iliyopita, unaposema Tanzania kinara kuuza nyama nje kila mtu anajua sababu ni nini, lkn unapoweka # eti sababu ya mama tunakuona mpuuzi mmoja tu hivi, hizo nyama kama si ndege zilizolazimishwa kununuliwa na Magufuli mngelepeleka na mata.ko yenu? Wacha upumbavu wewe post kitu huna haja ya kuweka siasa humu ndani, sisi tutakubali kwasababu tupo hapa kwa ajili ya Tanzania, wacha utoto.
 
1720694872423.png
 
Nilitoka TZ feb hapo bungoni kulikua hivyo hivyo na bado kuko vilevile miezi karibia 5 now 🙄
Ni upuuzi tu unaendelea mkuu, barabara haziishi miezi nenda rudi, huenda zisiishe mpaka 2030, alafu anakuja mpuuzi anaweka jengo moja la hospitali anaweka na # eti Samia kazi iendelee, hawa wasenge wachache ni wakupiga risasi.
 
Imagine best team in Kenya
Hawa wakikutana na kagera sugar sugar wanawanyuka ile mbaya

Ila wakenya wapunguze mudomo kuondoa aibu hiz ndogo ndogo
Mimi nilisema kitambo, nilimuambia mnuka mavi mmoja kwamba haya mashindano hakutakuwa na timu kubwa hata moja ya Tanzania kutokana na kubanwa na ratiba ya timu zetu kubwa, lkn timu ndogo za Tanzania zitashinda haya mashindano kwasababu sisi ni football nation.
 
Ujinga ujinga tu mnaendeleza, tunakuangalia tunakuona kama chizi mana hakuna asiyejua kama awamu hii inatembelea nyota ya awamu iliyopita, unaposema Tanzania kinara kuuza nyama nje kila mtu anajua sababu ni nini, lkn unapoweka # eti sababu ya mama tunakuona mpuuzi mmoja tu hivi, hizo nyama kama si ndege zilizolazimishwa kununuliwa na Magufuli mngelepeleka na mata.ko yenu? Wacha upumbavu wewe post kitu huna haja ya kuweka siasa humu ndani, sisi tutakubali kwasababu tupo hapa kwa ajili ya Tanzania, wacha utoto.
Kwenye hayo yaliyotekelwzwa,Kuna nyota ipi Sasa? Mbona povu la ujinga shida nini? 😁😁

Mwisho hiyo nyota Kwa nini haikutembea awamu yenu? 🤪🤪
 
Haya mambo ya Urusi wakati huu

Sio kabisa,ukiisha mgogoro wao wala hawatakuwa marafiki zetu.Hatuna biashara ya maana na Urusi labda mbolea anayotuuzia tu.
Ni kweli ila Sasa lazima tuendelee na sera yetu ya unafiki( kutofungamana na upande wowote).
 
Back
Top Bottom