Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo hayo ni makusanyo ukitaka mgombane hoji matumizi
Hoji tuu utapata Kila kitu,nakuletea Moja baada ya nyingine👇👇

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1811001099152728415?t=5tRDhTlPGENqWXut3b0uyA&s=19
20240710_171609.jpg
 
Ila hapo kulitakiwa kujengwa mradi wa kama Mloganzila ila mama kapeleka Zanzibar!
Kuna hospital gani ya Kanda ya Nchi hii ambayo inafanana na Mlonganzila?

Mwisho mradi wa Zanzibar ni Mkopo independent kutoka Korea kama ambavyo walifadhili Mlonganzila ndivyo watafadhili Zanzibar

My Take: Samia ndio Rais pekee mwenye Asili hasa ya Zanzibar, wengine walikuwa wa mchongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom