Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Kila siku 4000
4000×7=28000
4000×30=120000
Hapo ni Dar -Moro
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1810742379277864992?t=YMoVAQKaj9u9r6FLWYxmPg&s=19
Kenya vijijini kumkuta mtu amevaa smart na kashiba hivo ni sawa na kuokota tanzanite kama unabusha post Moja tu inayoonyesha maisha ya wakenya vijijiniNingekuwa na uwezo ningetengeza hii iwe billboard kubwa alafu tuiweke pale JNIA na caption ya Do not feed the animals 😬😂😂😂😂View attachment 3037526
Kwa Kunya hiyo ni state of art stadiumTunawakumbusha tu wakenya hapo sio mjini kati ni Mwenge almost 20km from CBD
Hapo sio Nakuru au pokot mzeeNina uhakika hawana. Wee ni mjinga sana. Kuwepo kwa duka hakumaanisha mtu ana hela. Wabongo wenzako wamejazana Nairobi na Nakuru tena mbele ya maduka makubwa wanaombaomba pesa na chakula.
Kwaiyo Nakuru ni tribal people?Hawezi lalamika kwa sababu hao ni tribal people, hata ukienda amazon forest brazil utapatana na watu wako half naked na watakuomba pesa na chakula.
Tatizo ni mtu alievaa shati limepigwa pasi na suruali ya khaki kuomba chakula bure bila kufanya kazi yeyote.
Mwengine ameshika jembe kando ya shamba alafu anasema do you have food for us hio ni jambo la kushtua na inaonesha uzembe mkubwa.
Analeta nyumba ya mafisadi wa kenya na politicians7🤣🤣🤣🤣
View attachment 3037870
View attachment 3037872
Usinichekeshe mpaka matenk Ikulu. Eti kuipa serikali pressure 🤣🤣🤣
Napenda unavyodownplay.
I think nikuache naona ushaflash mambo yote ya Kenya mwezi huu. Yaani unaropoka mnajitosheleza.
Slums dunia nzima top ten mpo unaleta nyumba za elites kubishia huku.
Huaga mnakua delusional or something? Kama omba omba Nairobi ni WaTz why hamuwarudishi?No wonder wamejaa huku wanaombaomba. BTW there was time someone shared a tiktok video of a Tanzanian in Germany claiming when she's in a fix, it's Kenyans who help her. Hapo kuna kaukweli. 🤣 🤣 🤣