Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅😅😅😅

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1810886456656663003?t=aCKQ1ULWiI282JdZgI0_2A&s=19
Screenshots_2024-07-10-08-25-41.png



View: https://x.com/lipundaKE/status/1810887706920075680?t=HQl_j2mnhIaTZrUeYbRtOA&s=19
 
Ivi serikali haina tuzo ya kutambua mchango wa watu kama hawa like PROUDLY TANZANIAN?

On both Benji na Kampuni ya Nala.
Hatuna Sisi tunawaza tozo na ufisadi, sakata la sukari kwenye nchi halijawahi kutatuliwa cha ajabu sukari baadhi ya maeneo ilifika 10000 kwa kilo na bado Unashangaa waziri WA kilimo bado Yuko ofisini 😅😅😅😅😅
 
Sio Leo wala Kesho Hilo kutokea, watu wanahela zao pale tanesco tozo kila Kona kwenye nchi hii, bei ya mafuta ishuke kwanza kwasababu hio ndio inaendesha uchumi wa nchi hii, mafuta kwenye nchi hii ina kodi 22 na hua sijui ni za nani na zinaenda wapi
Lakini hata JK juzi alisema wapunguze bei ya umeme
 
Hvi botswana anaishinda nn Tanzania kwenye vivutio vya kitalii, Sijaona nchi Africa ya kushindana na Tanzania kwenye utalii ni vile hatuna ushawishi wakuonesha vivutio Tanzania
Waulize waliopigia kura Okavango delta ,Kuna mambo mengi ikiwemo hospitality.

Inasemekana Wageni wakija Huwa hawageuki tena
 
1. Naomba waliofund Lot 1 ya SGR ($900m)
2. Naomba waliofund JNHPP (Tsh. 6 Trillion kuna mtu wa mkopo anaweza toa $3 Billion kujengea nchi bwawa alafu hiyo nchi raisi aweke Permanent Sovereignty on Natural resources meaning hata iweje dhamana yao haitakua mali yao, alafu huyo aliyetoa mkopo asitake kutangazwa eeeh kwa huo mchango mkubwa. Na sijui kama kuna lender atajitoa akili kuweka hizo pesa zote nchi ya Africa papo hapo mradi mmoja na ukamilike uwe mali 100% ya serikali)
3. Naomba Mkopo wa kujenga Dodoma Magufuli City source yake.
4. Naomba source ya mkopo wa Kibaha Kimara Highway
5. Naomba Source ya Mkopo ya Kijazi Interchage (Ubungo Interchage)
6. Naomba Source ya mkopo (fund) za Magufuli Bridge.
7. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa TZ state house
8. Naomba Source ya mkopo ya Ujenzi wa Msalato International Airport na airports nyingine.
9. Naomba source ya mkopo ya Ujenzi wa Magufuli Bus Terminals, Tanga Bus Terminal, Dodoma Bus Terminal, Nyegezi Bus Terminal, Nyamahongolo Bus terminal.
10. Naomba Source ya Mkopo ya Ujenzi wa Oil Terminal ($270 million)
11. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa Masoko ya kisasa (Job Ndugai (Dodoma), Kariakoo soko jipya, Magomeni, Soko la Mwanza).

List bado ni ndefu....

Kama hiyo yote tumekopa why Debit to GDP ratio ni ndogo, hatujafikia huko ujinga wenu mliokopa toka Enzi za Magufuli Eurobond na vitu tangible havifikii hata bei ya mradi mmoja wa BRT tuliokopa?
Uppercut 👊 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom