Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie wa awamu ya 5 mlinunua ngapi? Nioneshe hata 10 nifunge account 😁😁😁😁😁

Ulitegemea Samia amalize shida zenu za miaka 60 Kwa miaka 3?
Mikopo mpaka wakununua gari za ambulance na nchi watuwanalipa Kodi na tozo juu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Shikamoo billionaire nchemba tuendelee kusifia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Waziri WA fedha anamiliki team ya mpira na tena inasajili wachezaji WA mabilioni ya pesa, Sisi ndio tupo

Tuendelee kusifia tu
 
Nioneshe ambulance mlizonunua awamu ya 5 hata 10 tuu.😁😁😁😁

Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C9MVsjQMfS7/?igsh=MXZ1ZTdoNTNsNzRyMw==
 
ichoboy01 and co,Ila Suku gang Huwa mbanifurahisha sana,mkileta porojo nawapiga na vitu vizito vya mamiradi Kila sekta yaani Hadi mnaona aibu 😁😁😁

Vyuo Vikuu kila Mkoa ambao haukuwa kuwa na Chuo Kikuu πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20240710-080230.jpg
 
Hao mbuzi wa kundurenda hawakutaka tuwe na sgr ndiyo maana wakawa wanasema sio economic viable mwisho wa siku wamebaki wanaumbuka na walitegemea na sisi tungejenga kama yakwao
Kuna Wapumbavu walikuwa wanauliza abiria na mizigo itatoka wapi! Waangalie jinsi major regional exporters walivyochangamkia fursa ya kuwa na wagons! Hapo mining companies hazijakuwa factored!
 
Back
Top Bottom