Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiufupi mkuu kumiliki ardhi Zanzibar Mswahili anaruhusiwa ila asilimia KUBWA hawapendelei kutafuta maisha Zanzibar.
We kaa pita mtaani katika mishe uone mtu anafikiria kwenda kutafuta maisha wapi halafu usikie kama ataitaja Zanzibar.
Mambo ya kutafuta maisha sio hoja, hoja ni je mtanganyika mwenye ameyapata maisha anaweza kwenda kujenga Zanzibar.
Mkenya anaweza nunua na kumiliki ardhi sehemu yeyote ya kenya as long as amepitia the proper legal channels.
Nikisema hamn.a makende kuzungumza haya mambo itakua nimetukana 😂😂
 
Hakuna mtu asiyejua kwamba hakuna kitu cha maana Zanzibar kando na Tourism 😂😂😂
I mean angalia tu picha zake vile zimejazwa na unplanned settlements, ndio maana huwa tunaipuuza.
lakini sote tunajua ardhi yeyote ile ni bidhaa muhimu katika binadamu, kwa hivyo usijaribu ku downplay umiliki wake.
Wewe kwanza receipts zako ninazo ukilia kwamba wazenji wanaidhulumu Tanzania.
The liberation of Africa is not complete until CCM is removed
Zanzibar iko modern than Mombasa kwenye kila kitu ukitaka mjadala nambie plz😀😀
 
Mambo ya kutafuta maisha sio hoja, hoja ni je mtanganyika mwenye ameyapata maisha anaweza kwenda kujenga Zanzibar.
Mkenya anaweza nunua na kumiliki ardhi sehemu yeyote ya kenya as long as amepitia the proper legal channels.
Nikisema hamn.a makende kuzungumza haya mambo itakua nimetukana 😂😂
Ndio Mtanganyika anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar na wapo wanaomiliki.
Shangazi yangu amejenga na anaishi Bububu maskani na yeye ni MNYAMWEZI.
 
Zanzibar iko modern than Mombasa kwenye kila kitu ukitaka mjadala nambie plz😀😀
Mmmh mkuu mimi Mtanzania ila kuifananisha Zanzibar na Mombasa ni dhambi.
Mombasa IS FAR WAY BETTER THAN ZANZIBAR.
Shida Zanzibar ina shanty towns kibao na asilimia kubwa ni unplanned settlements.
Ni mahoteli ndio yanaipendezesha ile Zanzibar,labda na nyumba za FUMBA alizojenga Bakhressa.
Ila ukija kwa raia sifuri.
 
Hakuna MTU ana own land Tanzania, ardhi yote iko chini ya serekali, wanachofanya ni kukupa ardhi lakini sio kumiliki kwasababu siku wakitaka ardhi unalipwa fidia unakaa pembeni, tofaut na kwenu, kwamba ardhi inamilikiwa na MTU siku mradi ukitaka kupita ww unataja pesa yoyote uitakayo 😅😅😅😅

Na hio ndio sababu miradi yenu yote inakula pesa nyingi Sana kuliko uhalisia
Asante kwa kutukumbusha watanzania ni landless, lakini sheria za ardhi Zanzibar zinaendelea na kukandamiza Mtanganyika. Yani mpaka atafute mzenji amnunulie haki za ukaazi ndiposa ajenge nyumba. Double discrimination
 
Mambo ya kutafuta maisha sio hoja, hoja ni je mtanganyika mwenye ameyapata maisha anaweza kwenda kujenga Zanzibar.
Mkenya anaweza nunua na kumiliki ardhi sehemu yeyote ya kenya as long as amepitia the proper legal channels.
Nikisema hamn.a makende kuzungumza haya mambo itakua nimetukana 😂😂
Unajua maana ya Equity bab?
 
Asante kwa kutukumbusha watanzania ni landless, lakini sheria za ardhi Zanzibar zinaendelea na kukandamiza Mtanganyika. Yani mpaka atafute mzenji amnunulie haki za ukaazi ndiposa ajenge nyumba. Double discrimination
Sio nakukumbusha nakupa sawa ikuingie vzr na sio kweli kua watanzania bara hawana ardhi znz hio unajidanganya kuna vitega uchumi vingi znz vinamilikiwa na watu kutoka Tanzania bara.. narudia kukumbusha znz ni modern kuliko Mombasa 😂😂😂
 
Mbumbumbu kutoka Kenya wamejifungia Kibera wanaona maisha wanayoishi Kibera Dunia yote wanaishi hivyo 🤣 🤣 🤣 🤣

Bongo

1720012198865.png
 
Ndio Mtanganyika anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar na wapo wanaomiliki.
Shangazi yangu amejenga na anaishi Bububu maskani na yeye ni MNYAMWEZI.
1. Huenda akawa ana uraia ambao ni vigumu kuupata kwa Mtanganyika
2.Ametumia raia wa Zanzibar kusajili hicho kiwanja.
 
So a Tanganyikan cannot opt to own land to build a house in Zanzibar. The liberation of Africa is not complete until CCM is removed. A Zanzibari can own land in Tanganyika and vie for presidency but a Christian cannot be seen eating in Zanzibar during Ramadan. What a backward katiba. I know you are poor but what about others who are willing to build there, your property will be under CCM 😂😂😂
Ulivyo huna akili hata hujui kwamba Rais wa Zanzibar alizaliwa Tanzania bara, hata baba yake pia, usituambukize ukabila wenu
 
Back
Top Bottom