Wiki ya kwanza ni ya testing, kwa hivo abiria sio wengi. Wiki ya pili ndio sasa treni inaanza kazi visawasawa, abiria wanaongezeka. Siwezi shangaa kama wiki ya pili Kenya ilikuwa na abiria wengi kuliko hiyo ya Tz.Wiki mbili abiria zaidi ya elfu 40.
Inamaana wiki moja wamesafiri abiria 20k+.
Ninyi wiki moja 7k+.
Je hapo hesabu imekaa sawa!?
ExactlyPlus free rides
Watanzania wanasafiri sanaAisee hii ifikie wale wapumbavu aina ya NairobiWalker Teargas na Lewis254 waliokuwa wakisema SGR TZ itakosa wateja!
Mlisema hivyohivyo kwa reli mkaja abiria sasa unataka mzigo subiri utapata kama ulivyopata hizo nyingine.🤣🤣🤣Haya sasa leta mizigo 😁😁
Haya ondoa abiria 500 umefurahi?Umehesabu na safari za bure zilizolipwa na suluhu.
📌📌📌🔨😁😁😁👇👇Exactly
And mind you, Route ya Nairobi-Mombasa ndio their busiest route hapo ukunyani 🤣🤣🤣 tukiwaambia Tanzanians ni travellers unlike them wanapinga. No wonder waliwahi kukataa uwepo wa route ya Dar-Moro. Now they know. 😂😂Tanzania SGR kwa mwanzo tu ndani ya wiki 2 wamesafiri watu 40k
View attachment 3033062
Kunyaland walisafiri 14k unaona kabisa ni mradi upi ni white elephant
View attachment 3033063
Tulivyokuwa tunawaambia kuwa ziko buses nyingi zinazoenda route ya Dar - Moro wakawa wanabisha hakuna bus inayoishia morogoro.Free ride ilikua moja tu ya ufunguzi basi.
Lete takwimu hapa.Wiki ya kwanza ni ya testing, kwa hivo abiria sio wengi. Wiki ya pili ndio sasa treni inaanza kazi visawasawa, abiria wanaongezeka. Siwezi shangaa kama wiki ya pili Kenya ilikuwa na abiria wengi kuliko hiyo ya Tz.
Wajinga hawa,kuna Abood na BM zinaishia Morogoro.Tulivyokuwa tunawaambia kuwa ziko buses nyingi zinazoenda route ya Dar - Moro wakawa wanabisha hakuna bus inayoishia morogoro.
Inawezekana huyu hater hapa ni Mkundustan au Mzungu anatumia 😁😁👇👇
View: https://twitter.com/luca9alco/status/1808562734948094418?t=dtqpIFF1W_blqhhrS10TIg&s=19
Al Saedy piaWajinga hawa,kuna Abood na BM zinaishia Morogoro.
Zipo nyingi huo mfano tu kaka.Al Saedy pia
Jambo la kukosa tickets sio kitu unique kijana huu wenu ni ushamba wa first time,Safari ya bure ilikua moja tu ya kwenda Morogoro.
Hakukuwa na safari ingine ya bure.
Hivi unajua kuna mamia ya watu tulikwama kusafiri wiki ilopita kwa kukosa nafasi!?
Jiulize kama treni zingekuwa mbili zinafanya safari hivi ingekua wamesafiri watu wangapi!?
Ingekua zaidi ya 40k.
Dar Light rail system mbioni kuanza Ujenzi,itakuwa ni full Sgr (Tegeta-Mwenge) 👇👇
View: https://youtu.be/ea31UiAm5dw?si=_ikb4xW1K4eHnOf8
hio forehead mzee nahisi ishafika July so far😂😂