Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiti anxiously waiting for our boys in Blue in save their country..
IMG_3928.jpeg
 
Inakera , sio mwakabwa tatu ni kama mwaka wa 9 . Toka Kikwete anatoka. Issue hapa ni hamna Financer wa hio hela tajwa

Kuna hiyo conference... Halafu kulikuwa na ile Disney land... Zote zilianza kama wakati mmoja hivi na zote zimebakia hadithi..

Ile Disney land na huu muamko wa royal tour ingekuwa Bomba sanaaa...
 
Inakera , sio mwakabwa tatu ni kama mwaka wa 9 . Toka Kikwete anatoka. Issue hapa ni hamna Financer wa hio hela tajwa
Hawa wa awamu ya 6 hii ni hesabu hao ya mataarifa mwaka wa 3 ila huo mradi umekwama zaidi ya hiyo miaka 9 wako busy kujenga Nairobi,wanakera sana.
 
Back
Top Bottom