Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Steshen ya Dar ni ndogo sana hata ya Dodoma pia. Kwa sababu ya kujihami na criticism Magu alijenga steshen ndogo. Ila kiukweli ni kuwa, ukiangalia nyimi linalo safiri daily toka kwa Dar Bus Terminal utajua tunaitaji steshen kubwa sana itakayo ruhusu multiple trains at wakati mmoja. Hakuna mtu ataenda Moro kwa 4hrs wakati anaweza enda kwa 1:30hrs tena kwa bei ya chini. Chomi lote la mabasi litaamia kwenye treni.

View attachment 3028698
Unachosema ni Sawa kuna haja ya kuja kujenga station Kubwa eneo lingine litengwe nje kidogo ya mji ,kuongeza Station mpya kubwa .

Pia kama tutafanikiwa kumaliza SGR to Kigoma by 2030 .

Muhimu kufikiria ku link Dodoma to Mbeya by SGR na Dodoma to Tanga via Arusha na Moshi by SGR . Hii Itafanya Tanga Port na Dar Port zote kuwa linked na SGR na hivyo kuwa na Link Port 2 .
.Kipande cha Mbeya kama kikifika Ziwa Nyasa nayo itakuwa vizuri..Hii itafanya SGR iweze kubeba mizigo mingi zaidi
 
Dodoma inaenda kuongeza more than 220 km of dual carriageway uelekeo wa Singida, Arusha, Iringa, Morogoro, huenda Dodoma likawa ndio jiji lenye kilometers nyingi za dual carriageway ukanda huu

View attachment 3028832View attachment 3028833
Outer ring road ni 110km inner ring road sijui ni km ngapi? Exit road kuelekea Singida 50km, Arusha 50km, Iringa 50km, Dsm 70km. Hapo tuu kwa mahesabu ya haraka unapata 330km of dual carriageway. Hapo sijahesabu inner ring road na duals nyingine kwenye cities within Dodoma city 😁
 
Jf wamekaza mqundu lakini twitter wamekubali mziki. Alafu trending topic ni "usenge"View attachment 3028628
Wajanja tumeshajua account yoko ya x.com
Tumeshachukua taarifa zote za maana. Wewe ulete za kuleta sasa. Nadhani wewe ni same person na huyu.
Screenshot 2024-03-18 195324.png


Image features zote zimeendana. Ukileta mambo, tutaleta taarifa zako hapa na phone number yako.
 
Hizo sifa za bunge la Tanzania ni aibu. You lack information. Bachelors degree 21% mnaona ni kitu cha kushangilia? Wacha nikupe mfano, Kenyan Senate Bachelor's degree ni 100%, yani hamna senator asiye na bachelor's degree.
Yaani nyie nyang'au ndio mnagundua sasa kuwa ukabila na rushwa iliyokithiri ni vitu vibaya sana kwenye jamii?😎
 
Outer ring road ni 110km inner ring road sijui ni km ngapi? Exit road kuelekea Singida 50km, Arusha 50km, Iringa 50km, Dsm 70km. Hapo tuu kwa mahesabu ya haraka unapata 330km of dual carriageway. Hapo sijahesabu inner ring road na duals nyingine kwenye cities within Dodoma city 😁
Na naona mkopo wake ni dollars million 217 tu, tukikopa dollars billion 1 tukachagua miji mitano mingine let's say Arusha, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro, Tanga the same project, miji yetu itakua na standard nzuri sana nimepitia andiko la TANROADS kuhusu huu ujenzi sio barabara za kawaida tulizozizoea, ni barabara za tofauti sana zimezingatia mambo mengi mno na nonmotorists friendly, green spaces, bus stops za kisasa, road furniture za tofauti na mengi

Sijataja Dodoma, Mbeya, Dar sababu hii mikoa tayari wana dual carriageway nyingi zinazojengwa
Screenshot_20240629-113845.jpg
Screenshot_20240629-113907.jpg
 
Back
Top Bottom