Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua mm nilijiuliza Sana VP ruto anakopa 250b ksh eti kurudisha thamani ya ksh against USD Yani nilijiuliza Sana lakini baadae nilijua Kenya imekufa tayar 😂😂😂😂
Uzuri hii migomo inarudisha Kshs kulekule saahii utalii umedorora wageni wametoroka na uzalishaji umesimama!
 
Yaani kama Dar mpaka Moro tu kunakua na nyomi kubwa hivi la abiria, vipi kuhusu Dar to Dom, Dar to Mwanza je? Vipi Dar to Kigoma? Tanzania to Burundi itakuaje? Tanzania to DRC je? Ni balaa

Kawaida railway business hubreakeven kwa kupitia mizigo freights mostly lakini inaweza Tanzania kuweka historia passengers volume ikafanya project kubreakeven

View: https://youtu.be/nynHfVye0SM?si=2lDiemGsjyhwruBU

Steshen ya Dar ni ndogo sana hata ya Dodoma pia. Kwa sababu ya kujihami na criticism Magu alijenga steshen ndogo. Ila kiukweli ni kuwa, ukiangalia nyimi linalo safiri daily toka kwa Dar Bus Terminal utajua tunaitaji steshen kubwa sana itakayo ruhusu multiple trains at wakati mmoja. Hakuna mtu ataenda Moro kwa 4hrs wakati anaweza enda kwa 1:30hrs tena kwa bei ya chini. Chomi lote la mabasi litaamia kwenye treni.

1719612731069.png
 
View attachment 3028698
Ni kweli kabisa, station ni ndogo kama watakuwa wanatoa abiria wote wa mikoani kwa wakati mmoja angalau wangekua wanawagawa kwamba abiria wa Dodoma wakae floor a abiria wa Morogoro wakae floor b wakati wanafanya ticketing na kusubiri train lakini kuwakutanisha wote ni uongo, abiria wa Morogoro tu wametosha kufanya floor yote kuwa busy, vipi kama wakikutana wa mikoa yote project ikikamilika? Pia waweke multiple take offs with at least 2 hours intervals na wasisitize watu wakate online, mtu afike station tu dakika 35 kabla ya safari ili kupunguza congestion,

Au kingine waende kinyume na utaratibu kwamba mtu akate ticket aende moja kwa moja ndani ya train hakuna wengi kukaa waiting lounge, au baadhi ya slots waziminimize waongeze waiting lounge au waongeze automatic ticketing machines na waziweke kule nje kabla mtu hajaingia terminal na ziwepo nyingi angalau 15

Milango pia ni midogo sana wafanye Milango iwe mipana
 
Sports and economic dominance go together… in the just concluded Africa Athletics championships in Cameroon, Kenya emerged 2nd overall despite sending a joint Team B and C .. ( Team A is preparing for the Olympics and were not allowed to participate by the Kenya governing body )… Where was Tanzania?… to enforce my point .. watch the Paris Olympic’s opening ceremony parade of nations… stronger countries have the biggest delegations walking… Kenya and South Africa will have the largest African delegations… what does that tell you?..…remember my post.. I will update it after the Opening ceremonies …Bongo maybe 10 people total..🤣🤣🤣..and I will bet anyone that Kenya will top the Africa medal tally at the Olympics ( again as usual)…
IMG_3914.jpeg
 
View attachment 3028720
Nendeni mkamshukie huyu mbwa Mnigeria. Anajelaz sana, Nigeria iz no betta zan Kenya.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1806890676547686789
 
Back
Top Bottom