ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,262
Dodoma is rising higher.
5 Star Hotel loading 👇👇
5 Star Hotel loading 👇👇
Mbona uliweka bendera ya Tz?Fool naongelea finance bill kenya
Wakat huo huo Mombasa haina 5star hotel wala Kisumu 😂😂😂😂😂😂
Ukiona za Kenya utajidharau sana.Tanzania haiwezi kuwa na mapunguani kama hayo yenu yasiyojua yanachofanya ndio maana wame ya set 🔥🔥🔥🔥 eti saizi yanaomba msamaha 😂😂😂😂
Bunge la Tanzania Lina sifa zifuatazo 👇👇View attachment 3028622
Ziko wapi? Weka hapa tuzione maana tunazozijua ni za Hawa mazombi hapa 😆😆😆👇👇Ukiona za Kenya utajidharau sana.
Ziko wapi? Weka hapa tuzione maana tunazozijua ni za Hawa mazombi hapa 😆😆😆👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1806723272106455339?t=AyAnYrBIZWKrD1CpisQ6HA&s=19
Weka hapa,nilichojionea ni hiki hapa 👇👇Fanya research utajionea. Nimeangalia yenu nikacheka.
Weka hapa,nilichojionea ni hiki hapa 👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1806723272106455339?t=AyAnYrBIZWKrD1CpisQ6HA&s=19
Ni baada ya yule trainer wenu mwenye rasa kuja Bongo!
View: https://youtu.be/x5xqJFfHnqo?si=nuK7zZctphKo_M0Y
Kumbe currency value inakuwanga muhimu hivi. Ikidorora ndio mnakumbuka, ikipanda mnasema haina umuhimu. Hypocrites. 🤣 🤣 🤣Uzuri hii migomo inarudisha Kshs kulekule saahii utalii umedorora wageni wametoroka na uzalishaji umesimama!