Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We ng'ombe kweli, katika kilometers almost 800 kuwa na kipande kidogo cha kilometers 160 zilizopo under construction unasema ni nyingi? Ulitaka barabara yote ijengwe overnight iishie kuwa na potholes kama zenu, angalia quality ya barabara za lami Tanzania ulinganishe na uchafu wenu, from Mpanda to Tunduma hatakanyaga tope tena ni carpet mpaka Zambia

View attachment 3028614
Tena mwambie hizi ni peripheral roads 1600km from Dar sio kama zile zao all roads lead to Naipori.
 
Steshen ya Dar ni ndogo sana hata ya Dodoma pia. Kwa sababu ya kujihami na criticism Magu alijenga steshen ndogo. Ila kiukweli ni kuwa, ukiangalia nyimi linalo safiri daily toka kwa Dar Bus Terminal utajua tunaitaji steshen kubwa sana itakayo ruhusu multiple trains at wakati mmoja. Hakuna mtu ataenda Moro kwa 4hrs wakati anaweza enda kwa 1:30hrs tena kwa bei ya chini. Chomi lote la mabasi litaamia kwenye treni.

View attachment 3028698
Nyomi ipi kwani treni zimefika frequency ya safari kila saa? Ile stesheni inaweza kuhudumia treni hata kila nusu saa! Na pia kama ile parallel line ya kupishana inafanywa line kamili, hata treni kila dakika 10 inawezekana! Ukubwa wa kituo haupimwi na ukubwa w jengo!
 
Sports and economic dominance go together… in the just concluded Africa Athletics championships in Cameroon, Kenya emerged 2nd overall despite sending a joint Team B and C .. ( Team A is preparing for the Olympics and were not allowed to participate by the Kenya governing body )… Where was Tanzania?… to enforce my point .. watch the Paris Olympic’s opening ceremony parade of nations… stronger countries have the biggest delegations walking… Kenya and South Africa will have the largest African delegations… what does that tell you?..…remember my post.. I will update it after the Opening ceremonies …Bongo maybe 10 people total..🤣🤣🤣..and I will bet anyone that Kenya will top the Africa medal tally at the Olympics ( again as usual)…
View attachment 3028720
Sports and economic dominace go together while you have no CAF approved stadiums. Do you really hear yourself talking? 🤣🤣🤣🤣
 
Sports and economic dominace go together while you have no CAF approved stadiums. Do you really hear yourself talking? 🤣🤣🤣🤣
I feel your pain
IMG_20240628_221948.jpg
 
Tena mwambie hizi ni peripheral roads 1600km from Dar sio kama zile zao all roads lead to Naipori.
Sahihi kabisa tena barabara yenyewe inajengwa sehemu hata haina population kubwa maana yake maendeleo Tanzania ni kila mahali, angalia road lights barabara nzima, Kunyaland Naislum tu kuna barabara hata mishumaa hazina
Screenshot_20240629-085139.jpg
 
Back
Top Bottom