Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kuna mtanzania hata mmoja alishaenda Kunyaland kuexperience sgr yao? Lakini angalia hawa halafu watasema watanzania tunawagoogle sana 😁😁😁
SGR yetu mzuri ila miundo mbinu sehemu waweke vizuri.
20240621_155724.jpg
 
Kwani wana akili? Kwanza hizi ni vurugu za kikabila zaidi hata ya uhalisia kama ni gharama za maisha kuwa juu ni toka awamu ya mwisho ya uhuru bado gharama zilikua juu na zimeendelea kuwa juu sababu ya kodi kubwa ambayo lazima ikusanywe ili walipe deni, zaidi ya 60% ya kodi yote inaenda kulipa deni la Taifa, unategemea serikali itaendeshwaje?
Kwa hiki ulichoandika sina haja ya kujibu, unatumia hisia instead of thinking.
 
MIMI NASHANGAA MNASHANGAA WAKENYA.

wakenya wapo tofauti kabisa na Watanzania, Wakenya wanajitambua tofauti na Watanzania.
Wanajitambua au ndio mficha maradhi mauti humuumbua 😅😅😅😅😅

Walibakia kudanganya dunia Wana maisha mazuri sijui wako level za singapore haya kiko wapi SASA 😅😅😅😅😅

Nchi ina Hali mbaya kuliko Zimbabwe 😅😅
 
Mbona marefu sana.
Sema kama wanatumia mafuta na diesel bado sitafurahi.
Wangeyafunga mfumo wa gesi au umeme ili mafuta yakipandapanda hovyo wasidhurike hata kidogo.
Wangetumia ya umeme Tanzania sasa ina umeme kuzidi mahitaji.
Wafunge nyaya za umeme zitumie umeme kama vile city tram alaf gas au diesel iwe backup yake itakua Safi Sana
 
Wanajitambua au ndio mficha maradhi mauti humuumbua 😅😅😅😅😅

Walibakia kudanganya dunia Wana maisha mazuri sijui wako level za singapore haya kiko wapi SASA 😅😅😅😅😅

Nchi ina Hali mbaya kuliko Zimbabwe 😅😅
Mimi nasema kuhusu Raia, sisemi waserikali wanavyosema.
Au wakenya wa JF maaana humu si mnabishana tuu.
 
Mimi nasema kuhusu Raia, sisemi waserikali wanavyosema.
Au wakenya wa JF maaana humu si mnabishana tuu.
Kwan mm nazungumza kuhusu Nani??
Hawa hawa wajinga ndio hudanganya watu Huko nairaland kua wako level za singapore na Malaysia 😅😅😅😅😅

Mm nimeishi na wakenya najua Tabia zao mpaka hulka zao
 
Wanajitambua au ndio mficha maradhi mauti humuumbua 😅😅😅😅😅

Walibakia kudanganya dunia Wana maisha mazuri sijui wako level za singapore haya kiko wapi SASA 😅😅😅😅😅

Nchi ina Hali mbaya kuliko Zimbabwe 😅😅
Mbona hata waTZ wanasema reli yetu mzuri. Lkn kuna vitu kama hivi
20240621_155724.jpg

Hio ni SGR.
Na vivuko chini ya reli
20240623_154453.jpg
 
Back
Top Bottom