Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂umepost picha nyingi halafu ukafanya summary kwa picha hii moja. 👇View attachment 3025772..Arusha is far better than this, hilo linaaonekana wazi tu.

Au jamani, namuonea huyu .? 🤣🤣
Hapa ni sehemu ipi Mombasa?.., yaani sio CBD, usipotee njia mjukuu🤣🤣🤣🤣.,nakuambia Mombasa sio Dar, what u see ni residential mostly, from Buxton mbele kuelekea kutoka Mombasa kulee nje ukielekea mikindani, CBD iko kushoto mwa picha, haionekani, ndio ujue Mombasa sio mwenzenu, yaani unafananisha mitaa za Mombasa na Arusha town🤣🤣🤣💯💯😂😂😂😂
 
Unaniuliza mimi.? 😂😂😂
 
Babadogo ni slum kubwa kuliko kibera
Screenshot_20240625-143912.jpg
Screenshot_20240625-143926.jpg
Screenshot_20240625-143938.jpg
Screenshot_20240625-144009.jpg
 
🤣🤣🤣 huu ni upumbavu gani.? Unajua kitu kinaitwa shaghala baghala.? The summary of what you have posted ni hii 👇View attachment 3025780mjiji yetu haiwezi kuwa ya kipumbavu kama hivyo..😂😂😂 kubali yaishe.
Kweli Mombasa ni kubwa mno., unajaribu kulazimisha tufanane eti🤣🤣🤣🤣sio Dar.., kila sehemu nzuri ndani, summary., hatuwezi fanana, bana.., Mombasa ni wide!!!.,.
1717253597060.jpg
 
Hapa ni sehemu ipi Mombasa?.., yaani sio CBD, usipotee njia mjukuu🤣🤣🤣🤣.,nakuambia Mombasa sio Dar, what u see ni residential mostly, from Buxton mbele kuelekea kutoka Mombasa kulee nje ukielekea mikindani, CBD iko kushoto mwa picha, haionekani, ndio ujue Mombasa sio mwenzenu, yaani unafananisha mitaa za Mombasa na Arusha town🤣🤣🤣💯💯😂😂😂😂
Sio nafananisha, Arusha is better than Mombasa. Ngoja nikusogezee karibu ujionee 👇
GAaKZopXEAA_Stx.jpeg
kwani wewe ni kipofu.? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom