The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Tuliwatesa kweli kweli, mpaka unapotaja concrete jungle wanakaa mbali, kariakoo sio mchezo kabisa, na sasa imeongezeka maradufu.Hii haijawahi kujibiwa na sehemu yoyote Kenya nzima. Ilipowekwa hii kuna watu walipotea siku mbili kutafuta majibu wakakosa