Sio Kubadilisha.Alaf baadae urudi kwenye I'd yako unayoitumia sawa ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hizo picha nimepiga gongolamboto ,.
Nenda kwenye Uzi wa Geza Ulole
Wa SGR utoana
Sio Kubadilisha.Alaf baadae urudi kwenye I'd yako unayoitumia sawa ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Wala mimi sio mkenya , mimi ni mbongo pure kabisa.๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Umefungua Account nyingine. Tutawanyoosha hivyo hivyo tu. Hata mkijifanya watanzania.
Kwamba ukiandika hivi ndo tutajisikia vibaya! ๐๐๐Kuhusu maisha wote hali mbaya tuu.
Ila mimi nazungumzia kuhusu ujinga.
Mostly ya Watanzania ni wa wajinga kuliko wakenya , hii msikatea.
Mimi mwenyewe mbongo pure.
Achana naye huyo jamaa. Amekazana sana kuonyesha mradi wa sgr umefeli. Sijui ana matatizo gani๐๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Umefungua Account nyingine. Tutawanyoosha hivyo hivyo tu. Hata mkijifanya watanzania.
Uongo. Tupatie Namba yako ya NIDA kama kweli wewe ni Mtanzania.Wala mimi sio mkenya , mimi ni mbongo pure kabisa.
Endelea kuamini hivyo hivyo sawa.
Nyoo unijue mimi ni nani?Uongo. Tupatie Namba yako ya NIDA kama kweli wewe ni Mtanzania.
Tafuta sehemu nimesema mradi umefeli, screenshoot andiko langu, afu njoo upost humu, kama ushahidi. Sehemu niliposema mradi umefeli???Acha naye huyo jamaa. Amekazana sana kuonyesha mradi wa sgr umefeli. Sijui ana matatizo gani๐
Basi wewe siyo mtanzania. Unatusumbua tu hapa. Je, leo kuna maandamano?Nyoo unijue mimi ni nani?
๐ ๐ ๐ ๐๐๐
Unapost reli kipindi cha ujenzi na inaonekana kabisa usehemunya ujenzi ๐ ๐Mbona hata waTZ wanasema reli yetu mzuri. Lkn kuna vitu kama hivi
View attachment 3026462
Hio ni SGR.
Na vivuko chini ya reli
View attachment 3026463
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ nilisema mm
View: https://x.com/gilbertsdembe/status/1805838730000838797?t=pp_SEGCy1LkievxsZceAZg&s=19
View: https://x.com/jaokojohnmark/status/1805837017147740665?t=xDpDZR30Q71YOv7FxnI1MA&s=19
View: https://x.com/KusienyaKelvin/status/1805841665493524766?t=_snh5m3zZH4HHZgWS1iCdQ&s=19
Wewe unataka wapite sehemu Ya nn ??Kwenye uzi wa SGR nilituma picha nyingi sana kuhusu SGR yetu hii.
Nikasema SGR yetu mzuri hata kulika ya kenya katika technology na na speed hata coach zile za mabehewa.
Ila huku kwetu gongolamboto reli inapita nyuma ya gongolamboto sokoni, watu wanavuka mpka kutoa kokoto za reli picha hii natuma tena. Nilipiga.
View attachment 3026475
Mpaka kuna mtu anashika bendera kuzuia watu wasivuke kwa sababu reli inapita
View attachment 3026476
Kwasababu hakuna fensi
View attachment 3026477
Jana treni imepita imepiga oni kweli kwa sababu still watu wanapita juu ya reli.
Hata mimi mwenyewe nilipita juu. Hizo picha nilipiga last week.
Ila this week nimeona wanaanza kuziba. Baadhi ya maeneo
View attachment 3026478
Matokeo yake watu wanapita sehemu ya Kalavati.
View attachment 3026480
View attachment 3026481
Nikasema hivyo pindi wanajenga hawakuangalia kuhusu watu watapitaje.
Mwishoni kutoka kwa Geza Ulole
Nikaambulia kuitwa mjinga, mara unaweza iba.( baada ya kumuliza kitu kimoja nilikiona juu ya reli).
Mwishoni wakakana kwamba hizo picha sio reli ya Tanzania, nikamwambia wewe upo dsm, njoo gongolamboto ujekuona , sasa sijajua kama alikuja au la.
Upuuzi mtupu.Tafuta sehemu nimesema mradi umefeli, screenshoot andiko langu, afu njoo upost humu, kama ushahidi. Sehemu niliposema mradi umefeli???
Acha upumbavu wewe wakunya ni wajinga kuliko watanzania. Wangekuwa wanaakili wasingeacha watu wachache wamiliki ardhi na pia kukubali kuishi kwenye slums.Kuhusu maisha wote hali mbaya tuu.
Ila mimi nazungumzia kuhusu ujinga.
Mostly ya Watanzania ni wa wajinga kuliko wakenya , hii msikatea.
Mimi mwenyewe mbongo pure.