muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Wameanza ujinga tena hawa wehu!!
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la vlog wa Kenya Kuja Dar. Je naweza kuelezwa sababu? 🤣 🤣 🤣 🤣
Na ndio wao wanaosema kuwa Dar es salaam inaizidi Nairobi wala siyo sisi.
View: https://youtu.be/ig5JxF-Oe8k?si=VWgOfpSftsnzoUN5
Hao wengi wanajiuza kwenye mitandao ya kijamii. Soko kubwa la Wakenya, Wazambia, Wanyarwanda na Wazimbabwe ni Tanzania. Ukibonyeza tu hapo namba inaitika. Hawana lolote.Nilikuwata magomeni mikumi Hawa walikuwa wawili sema wanavaa nguo za kimitego mitego kweli Hawa.
Umesikia ????… so that’s your facts!….. You are an embarrassment to Yemen …🤣🤣🤣Nimefikia Buxton apparments ila nimeskia owner ni MTU kutoka Dubai imenihizunisha Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂 hii nchi imekufa kabisa
View attachment 3023724
View attachment 3023828
Share Link ya hii video kaka. Nataka kuona kinaendelea nini hapo Sinotan industrial park.Kitu kizuri chenye rangi zake kikipiga jeramba 😎
View attachment 3024005
Rangi adimu sana hii 😎
View attachment 3024008
Wakenya wamechoka na ufukara na fake GDP, fake economy, fake flashy renders, fake angled drone shorts, fake currency wakati kwa ground wanapitia shuruba hata Haiti hawajahi experience, ni wakati wao kumuwajibisha zakayo japo uozo wote huu uliletwa na uhuru, wamekopa billion 85 dollars lakini ukiwaambia wakuoneshe hata kwa spotlight ilipoenda hakuna anaejua
View: https://youtu.be/iqe_veezv2g?si=L0oxlLN8n4b5HbMX
😁😁😁😁 Utani pembeni lakini wana kila sababu ya kukiwasha hawa watu wanaishi kama mashetani, fukara wa Kunyaland ni fukara haswa haina cha wa kijijini au mjini na ndio majority, fake online life bado haiondoi minyukano ya umaskini walionao Pamoja na serikali yao kujikita katika upishi wa fake data lakini bado uhalisia ni kitendawili 😂😂😂Mm nawatakia kila la heri katika kupigania nchi yao, wakenya wanateseka sana since uhuru, yani ukizaliwa Kenya alafu wewe ni pangu pakavu tia mchuzi kama hawa wakenya wa humu ukifa kiimani huwezi kwenda motoni maana moto unawaunguza hapa hapa duniani, just imagine hawa wote walio humu wengi wao ni slum dwellers, na hata kama kwa sasa amepanga bed sitter lkn familia yake na ukoo wake wote ni slum dwellers, kwnn wasiuane? Waache wapambane sisi tujenge nchi.
Truly Kunyaland is a funny state hata a mere bishop can summon the whole country's vice president and quench his order openly before the president, sasa ninyi watu mna nchi kweli au zoo? Rais anaonekana kama kibaka tu hapewi hata heshima ya kinafki
View: https://youtu.be/qLIiYmgYj-8?si=nyP-8E4zdzIu6anN
He's still nobody in hierarchically structure, in protocolary to despise the next subordinate figure after the president is negligence to the presidency ila nchi yenu ni ghetto state so nobody cares ila ingekuwa Tanzania ni critical crisisEti a mere Bishop, huyo ni Arc Bishop na mkubwa wa kanisa zote za ACK in Kenya. Usiwe pumbavu, Rais hawezi kubaliwa afanye vile anataka just because yeye ni President. Katiba yetu inasema the power belongs to the people not the president.
Khush motors WA nn hawanijui mm nimekuja kukula dada zenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣So umekuja kupiga deals na wapakistan wenzako kush motors?