NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Kino Yves ameshangaa kuenda 297 km bila stima.😂No paved roads, no electricity, no internet. Abiria wanakojoa kwa vichaka. Poverty on steroids.
Kino Yves ameshangaa kuenda 297 km bila stima.😂No paved roads, no electricity, no internet. Abiria wanakojoa kwa vichaka. Poverty on steroids.
Serikali sikivu mkuu 😁Hii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.😂😂😂
Demo za ukabila na jobless who wants thatHii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.😂😂😂
Ulimuona alivyo enjoy Kuku Choma Porini?Kino Yves ameshangaa kuenda 297 km bila stima.😂
Rais Wa Kwanza Kutoka West Africa Kupanda Electric Train. Mambo na bam bam. Nyie endeleeni kuandamana kuomba bei ya unga ishuke.
View: https://youtu.be/CGd1Wy4agjo?si=4LTMtLIJyJ3fis8I
kasahau flying toilets!Mkenya leo anamuambia mtanzania eti "abiria wanakojoa kwa vichaka" dunia simama nishuke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unalinganisha mitumba na real luxury wagons?Tuondolee huo uchafu wako
#Rutomustgo.Hii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.😂😂😂
Keshasahau kwamba hawana stand za mabasi.kasahau flying toilets!
Watu wanapangua vyuma Tu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 3023592