Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The forth most developing city in Tz (Dodoma), ni bora kuliko Mombasa by far as far residential dvp is concerned. Kama unaweza hii battle leta punbu zako hapa wewe nyang'au Don YF. 😂😂😂
Mkuu usiikosee heshima Dodoma kwa kuipambanisha na mji wenye nyumba nyingi zaidi za udongo EA, mombasa ni mji mkongwe, Dodoma ni jiji jipya kabisa na modern, Dodoma level zake ni Dar na Nairobi na hiyo miji miwili pia imepitwa na wakati huwezi kuilinganisha na the most organized City in East Africa.
 
Wewe msukuma kutoka tanganyika unajua nini kuhusu kiswahili. Waarabu na walamu ndio sababu leo unaongea lugha yetu.
Waarabu wa lamu ipi wewe kima?? 😂😂😂 unajua sababu ya watu wengi wa Zanzibar, pwani ya Tanganyika kuwa chotara.?

Unataka nikuskilizishe kiswahili wanazungumza waarabu wa Mombasa.? Mfano, akina sheikh Mwinyi baba.?🤣🤣🤣 akina Muhammad Albadawi.?

Usiniulize nimewajua vipi.
 
Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
they clearly didnt understand my point ..tz feels so 30 years ago honestly even with these stendi za basi et.al.....
 
they clearly didnt understand my point ..tz feels so 30 years ago honestly even with these stendi za basi et.al.....
Nyie wzcheni kujipiga kifua hapa, ni kitu gani unahisi sisi tupo nyuma yenu 30 years. Heb tuanzie hapa kwanza. 🤣🤣🤣
 
Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?

Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.

Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hivView attachment 3021318
Aisee kwa midomo ya Wakundustani hili eneo hali Balanace kabisa 😂 Ni midomo tu mirefu, Wana safari mdefu sana hawa 😂
 
Waarabu wa lamu ipi wewe kima?? 😂😂😂 unajua sababu ya watu wengi wa Zanzibar, pwani ya Tanganyika kuwa chotara.?

Unataka nikuskilizishe kiswahili wanazungumza waarabu wa Mombasa.? Mfano, akina sheikh Mwinyi baba.?🤣🤣🤣 akina Muhammad Albadawi.?

Usiniulize nimewajua vipi.
Hujui historia wewe, lamu is the oldest and the original Swahili state. Waarabu walifika Lamu kabla wafike Zanzibar. Kenya kuna lugha nyingi ambazo zinafanana Sana na kiswahili, mfano ni kigiriama. Watanganyika pia wanajiita waswahili 😂😂😂
 
Tunajua, hata mlima Kilimanjaro upo Kenya😎😎
 
Kenya ipo mbali miaka 30 kuliko Tanzania.
Pipeline1.jpg
 
Back
Top Bottom