Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Tayari yashavurugana, sijui yatakuwa lini haya majamaa…..🤨
Jengeni terminal nyingine bhana hiyo imesha outlive its purpose.Mnatufuatilia sana.
Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃The real definition of development.. miaka 6-7 hatukua na haya maeneo kabisa. Hapa palikua pori tu. 5km away from Dodoma old city center 👇View attachment 3022466View attachment 3022469View attachment 3022470View attachment 3022472View attachment 3022474View attachment 3022475View attachment 3022476View attachment 3022477View attachment 3022478View attachment 3022480.. wewe mbwa Don YF. Leta zile takataka gorofa za udongo hapo Mombasa. 🤣🤣🤣🤣 mji wa mombasa umechakaa kama upumbavu. Hii si government city, just a random new development in the city of dodoma.
Picha zote hizo umeona majengo mawili tu .? Au ndio huo wivu.? Unaumwa moyo.? 🤣🤣🤣 leta zile majengo chakavu zilitapakaa mombasa nzima.. mana hakuna mji wowote wenye unaweza leta balls kwa hiyo NCC link pekee.Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃
Kama voi aisee lakini barabara ni za tope 😂😂😂😂Imagine miaka 3-4 haya maeneo yalikua mapori tu 👇yes this is Dodoma bro. View attachment 3022515View attachment 3022512View attachment 3022513View attachment 3022514.. ilazo extension 👇View attachment 3022516View attachment 3022518View attachment 3022519Michese.👇View attachment 3022520.. mtumba 👇View attachment 3022521View attachment 3022522View attachment 3022523.. nataka ilete hizo best residential za Mombasa wewe kima Don YF na huyu mpumbavu mwenzako Reborn Ktb. 🤣🤣🤣
Lete picha mpya ya hilo eneo, FYI kuna maeneo yako hovyo zaidi ya hapo ukibisha jikune uone 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Asante kwa TBT
Unarusha maneno tu hewani 🤣🤣🤣 Huna come back mbwa weweKama voi aisee lakini barabara ni za tope 😂😂😂😂
Kwani unadhani hawaijui Dodoma hao, wanaleta u joker tu wangese hao. Natena nikwambie hizo picha umeweka ni za kitambo kidogo, kumeshabadirika kabisa hapo mkuu.Imagine miaka 3-4 haya maeneo yalikua mapori tu 👇yes this is Dodoma bro. View attachment 3022515View attachment 3022512View attachment 3022513View attachment 3022514.. ilazo extension 👇View attachment 3022516View attachment 3022518View attachment 3022519Michese.👇View attachment 3022520.. mtumba 👇View attachment 3022521View attachment 3022522View attachment 3022523.. nataka ilete hizo best residential za Mombasa wewe kima Don YF na huyu mpumbavu mwenzako Reborn Ktb. 🤣🤣🤣
Bro Dodoma is not a joke, wacha kabisa mchezo, ndiyo mji unaokula pesa ya Tanzania kwa sasa just imagine, cement inayotumika hapo ni zaidi ya cement zinazotumika EA nzima combined.Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃