Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww unadharau maoni yake inaweza kua ina mashiko pia, kwa umesahau wahindi walipewa reli kuendesha je waliifikisha wap?
Open access ya reli sio sawa na kubinafsisha shirika ile ya wahindi ilikuwa ni kubinafsisha shirika ila hii ya open access TRC ana trains zake na wewe ukiwa na uwezo unaweka train zako ili kuleta ufanisi na ushindani mzuri na pia kuvutia wateja wengi maana operators watakuwa wakishindana kuvutia wateja.
Shughuli zote za umiliki wa reli maintenance signalling etc zitakuwa chini ya TRC na operators watakuwa wakilipa fees kutumia reli kama wanavyolipa kutumia barabara.
Mfumo huu uko kwa mataifa mengi yaliyoendelea na hufanya kazi vizuri sana.
 
Mi nashangaa watu wanakurupuka tu! Dunia yoote inafanya open access hao wakina Bakhreasa watatakiwa kununua rolling stock yao na watalipa fee ya kutumia hiyo rail! Si kitu kibaya ukifahamu wao ndio wenye mzigo na network kubwa!
 
Na hii open acess ndio tunafanya kwa BRT yetu na sasa kuna kampuni ya Dubai imeingia kuendesha brt sambamba na UDART.
 
Wacha uongo wee, hamna barabara ya lami kutoka Kigoma kwenda Mpanda. Barabara yenyewe hii. Hata Google maps inaonyesha vumbi.
View attachment 3021232
road-mpanda-kigoma.jpg
Hapa ni Nairobi cbd kabisa kuna Barabara hazina lami kabisa. Uko unashangaa Barabara za huko Mpanda zinazopita kwenye game reserves?

PXL_20240411_145129488-1.jpg
 
Hapa ni Nairobi cbd kabisa kuna Barabara hazina lami kabisa. Uko unashangaa Barabara za huko Mpanda zinazopita kwenye game reserves?

View attachment 3021302
Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.
 
Na hii open acess ndio tunafanya kwa BRT yetu na sasa kuna kampuni ya Dubai imeingia kuendesha brt sambamba na UDART.
Imeanza kazi hiyo kampuni? Vip imeleta mabasi mapya? Itaanza lini?
Vip mfumo wa kutumia kadi utarudi?
Wataongeza Mabasi? Yaliyopo yatakarabatiwa?
Vip option ya kutumia gasi au umeme kwenye mabus mapya. Umeme si upo mwingi?

Haya mambo yote yakisolviwa Mwendokasi itashinda tuzo kama ilivyoshinda 2018.
 
Nadhani issue ya kampuni binafsi ilianza kuongelewa mwaka 2018

Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.
Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?

Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.

Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hiv
dji_mimo_20240412_163932_0_1712958520111_photo.jpg
 
Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.

View: https://youtu.be/Mve3nV4QpeU?si=DDxwtjevAokCaM2S

View: https://youtu.be/BDjMUy-jHVE?si=8TfcD-IYXE8EFVOj

View: https://youtu.be/mdBTIYCgDNE?si=Zu9YjP33WtH38Lty

View: https://youtube.com/shorts/WgbmtNcTf10?si=G-P2Z6hrNH68zDpD
 
Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?

Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.

Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hivView attachment 3021318
Jalango anaona haya maendeleo!
 
Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
 
Back
Top Bottom