Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hujakua ukifuatilia mjadala?
Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297
Hii statement yako ya mwisho ndio nataka kuona. Iko wapi hio barabara? Au hukumaanisha ulichoandika?
 
JF kwa sasa hatujadiliani otiose Information. Tumeshavuka huko kijana. Cheap propaganda ni za watoto wa primary schools. Leta meticulous information we can have a discussion za kisomi. 🤣 🤣 🤣 🤣
So are you denying this road is not in Tanzania?…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Infact it’s the opposite… mabati Rolling mills terminal was their response to our Greenfield…. Bongo is the king of knee jerk reaction against Kenya… always!…🤣🤣
Wewe nawe unakuwa kituko siku hizi. Yaani Tz ijenge airport kwasababu ya Kenya? Umeona Terminal 2 yetu ilivyokuwa? Ilitakiwa iwe upgraded 1999. SGR, Stiglers Dam zote zilitakiwa kujengwa 20 yrs ago ila viongozi wetu kila anaeingia anakuja na priorities zake and thats our achilles heel
 
Huwa tunamuita mpumbavu wa ukoo wa sadima.
 
So, ulivyo mpumbavu Tanzania ijenge jengo kwa ajili ya kupata pesa? Hivi mnaakili nyie? Elimu yenu mbona mbovu hivi? Yani nchi ijenge jengo moja kwa ajili ya kupata pesa? Wakenya mbona akili zenu mbovu hivii?
Soma repoti ya waziri wewe liboya.., pingana na kauli ya serikali yenu, reason why they are building idiot! wanatumia kutafuta pesa za kigeni, wewe kafie mbali na huu ujinga wako, ukweli utakuuma hadi basi, Dar haina value, majengo mengi mnafugia popo na buibui, wateja hamna! hehehehehe
 
Umenotice tangu avuke border akaingia bongoslum vile anapita watu wengi kwa barabara wakiwa wamebeba kuni. 🤣🤣🤣 Poverty on steroids.
2024 report still insists multidimensional poverty in Tanzanian villages is above.., number three in Africa after Nigeria and DRC.., wako na kelele but zero kwa ground..,
 
Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.

20221124_135741-jpg.2439637
Mombasa beats Dar in residential estates hehehe
 
So are you denying this road is not in Tanzania?…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii sentence ndiyo analytical fact?
Ngoja nikufundishe.
1. Leta comparison parameters kutoka kenya kisha ulinganishe na hapa Tanzania. Mji wenye behaviors zinazofanana na kigoma, kisha measure the distance from the Town to the place you want to compare. Kisha unaleta report.

2. Leta evidences with examples ya kuonesha kuwa Tanzania kuna barabara za lami zenye urefu gani na huko kenya zipo barabara zenye urefu gani. Kisha weka ripoti yako hapa tuichambue.

3. Linganisha kwa kutumia empirical evidences maeneo yaliyopo remote huko kenya na hapa Tanzania kisha leta ripoti na facts zako hapa tuzichambue.

Tofauti na hapo utakuwa unatuletea Red Herring Propaganda ambazo zinatumiwa na watu wasio na uwezo wa kuchambua mambo. 🤣 🤣 🤣 🤣
KARIBU
 
Mombasa beats Dar in residential estates hehehe
Hizi zinaitwa Simplification Propaganda Unakuwa na simple answers with no evidences katika kitu kigumu.
Sentence yako inatumiwa na watu walioishiwa point na wapo kwaajili ya kujifariji ili waendelee kuhema. Najua wewe siyo mjinga kiasi hicho unaweza kuongea zaidi ya hapo. 🤣🤣🤣🤣Can you try to maximize your potential?
 
Nilijua kwa uendazimu wako, with clueless mind lazima ujibu.., brain iko na kichaa.., unaumwa Tanzania hakuna jiji kama Mombasa kando ya Dar.., residential Mombasa beats Dar, kalilie kwa choo mimi sio mwenzako kilaza..,
 
To mention Mombasa beats Dar everyone can do that, even kichaa can say that. But here in JF we discuss with empirical evidences. We need a person with brain to write justifiable description rather than cheap and childish explanation.
If I were you, I would bring an explanation in detail, I would give examples that can be measured and can be measured by all the scholars in the world.
But now, unfortunately, you, my friend, are using your brain below the standard.

Karibu tujadiliane kisomi
 
Kauli ya mwenzako.., this is what wants to argue with me...,
1718887769655.png
 
Back
Top Bottom