Maumivu haya, nilikuzoea, lazima utafute matako ya Mombasa ili ujiliwaze, ukweli mchungu,! Hautabadilisha ukweli, hauondoi uswazi Dar is slum., hautabomoa estates za Mombasa na hauongezi zile chache za maana Dar, yaani unajaribu kuondoa maumivu kwa kunwaga povu. Hizi ni reactions za hasira.., mkikosa jibu kutoka Tanzania baada ya kubanwa mnatafuta akina Kibera na mapungufu mengine, mmeishiwa pumzi, hamna jibu ya kuongezea kutetea Dar, mmepost yote mliyo nayo, same places angles tofauti🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂. GOOGLE EARTH imewaanika sawa sawa, mmebaki na uabunwasi tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,