Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida
Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!

-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
 
Unaita 35 billion dollars peanuts😃😃
Na kwa ground big zero

Screenshot_20240616-144218.jpg
 
Haya majamaa ni mapunga sana.

Yaani yanaona kwamba eti Bora yakaagize ngano au mahindi mbali huko kwamba ni kuikomoa Tanzania.

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1802271697145397446?t=RAHV5bi8aEUntuhrjrwWiQ&s=19

Kwa taarifa Yao tuu ni kwamba Tanzania Ina my trade zaidi na SADC countries kuliko hao vibaraka wa Beberu.

Vumbistan is a hostile state, mlileta wenyewe policy kwamba Kenyan traders wasinunue mahindi directly kwa wakulima mpaka watumie local company, matokeo yake ni Maize imports from Tanzania decline sharply.
 
These people are confused. They seriously believed they're the boss and can twist us the way they want with their maize stuff. I remember telling people here that the buyer is the boss hawakuskia. Sahii wanalia eti tuko na protectionism. Watajua nani ndio boss.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Cc. Geza Ulole
 
It is still manageable economically. It accounts to 40% ya GDP but yenu ni 90% ya GDP
Proves to us kwamba our debt to GDP ratio imefika 90% niondoke JF. Meanwhile Tanzania ratio imefika 46% na inapanda kwa mbio.
 
These people are confused. They seriously believed they're the boss and can twist us the way they want with their maize stuff. I remember telling people here that the buyer is the boss hawakuskia. Sahii wanalia eti tuko na protectionism. Watajua nani ndio boss.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Cc. Geza Ulole
"Mwenye pesa sio mwenzako"
 
Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!

-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Huna habari Ethiopia kachemka ku supply umeme kenya ana supply chini ya kiwango mlichokubaliana ndio maana kila siku load shedding aka system disturbance daily
 
Back
Top Bottom