Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Fikra zako zinakuambia nini?.., uko tu sawa, kile utaamua ndivyo., sipingi.., heheheWewe ni Kikuyu au Kelenjin? 🤣 🤣 🤣 🤣
Fikra zako zinakuambia nini?.., uko tu sawa, kile utaamua ndivyo., sipingi.., heheheWewe ni Kikuyu au Kelenjin? 🤣 🤣 🤣 🤣
Mnaumia ni kweli.., heheheUkweli unauma😁
Au hata mwanamke. Nyie nyang'au bado sana😁Mnaumia ni kweli.., hehehe
Vumilia ulipo naelewa haya maumivu.., poleni kaka.,Au hata mwanamke. Nyie nyang'au bado sana😁
Bado sana na huwezi kuelewa😁Vumilia ulipo naelewa haya maumivu.., poleni kaka.,
🤣 🤣 🤣 🤣 Hongereni kwa nchi yenu kuwa owned na only two tribes.Fikra zako zinakuambia nini?.., uko tu sawa, kile utaamua ndivyo., sipingi.., hehehe
Uko sahihi mzee, hizi fikra ni shwari hehehe, ila utapona siku moja tusemezane., hehehe.,🤣 🤣 🤣 🤣 Hongereni kwa nchi yenu kuwa owned na only two tribes.
Na tayari naona wakikuyu wameshaanza kuutaka urais; ha ha ha hawa nyang'au ni shida kweli kweli😎😁🤣 🤣 🤣 🤣 Hongereni kwa nchi yenu kuwa owned na only two tribes.
Kikuyu hawataki Kelenjin wapumue. Ikitokea Jaluo akatawala nchi hiyo tutasikia Matusi mengi mno.Na tayari naona wakikuyu wameshaanza kuutaka urais; ha ha ha hawa nyang'au ni shida kweli kweli😎😁
Ni wachafu kiasili hao mkuu.Jamaa ananawa halafu tena analishika bomba la kutawazia.
Duh zamani sana alooo, tangu DDC ipo hivyo, duhEbu linanisha na hizi za bongolala CBD. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Nimeuliza swali rahisi sana, nionyeshe kwa evidence mtaa ulio na barabara bora hapo Dar kuliko Kilimani. Sasa hizi story zote ni za nini? Inaonyeshe nimekushika kwenyewe. 🤣 🤣 🤣Acha ubishi. Ukitaka nitakuumbua sana. Huniambii chochote kuhusu hio Nairobi na kenya yenu
Hio Kilimani, hurlingam, kileleshwa, lavington mpaka kule kwenye slum ya kawangware inayonuka horizontal landscaping na developments ni aibu tupu.
Tukianzia YaYa centre pale, sewage za pale hazijawahi kauka Barabarani ni mwaka sasa kila nikienda Nairobi sewage zimekuwa mto kabisa, Barabara nyingi za Kilimani zina open sewage gutters, uchafu haukusanywi.
Anyway subiri next month nitakuwa huko nitaleta picha
Ahsante kwa kuleta ushahidi. Hapo juu kidogo kama unaelekea kwenye slum ya Kawangware kuna bonge la leaking sewage nimeiona mwaka sasa maji meusiii
I see well marked roads with lined drains. Meanwhile, here is Mbezi, your upper middle class neighborhood. Ukitoa main road zengine zote ni vumbi. Halafu hata hiyo main road drains hazipo.
Unajitetea nini? Hii ni sinza 12 km from Dar city centreNimeuliza swali rahisi sana, nionyeshe kwa evidence mtaa ulio na barabara bora hapo Dar kuliko Kilimani. Sasa hizi story zote ni za nini? Inaonyeshe nimekushika kwenyewe. 🤣 🤣 🤣
Tuonyeshe za Dar basi tufanye comparison. Maanake unaongelea Nairobi pekee wakati maeneo yenu ya hadhi yapo hivi.Ahsante kwa kuleta ushahidi. Hapo juu kidogo kama unaelekea kwenye slum ya Kawangware kuna bonge la leaking sewage nimeiona mwaka sasa maji meusiii
Halafu ndo wanaita sijui coolest Neighborhood in Africa sijui vitu gan. Ujinga mtupu
Unajitetea nini? Hii ni sinza 12 km from Dar city centre
Angalia horizontal infrastructure zilizopo sinza
View: https://youtu.be/tzGlKdM3BXU?si=c4DwAoKN66c62Mbk
Tuonyeshe za Dar basi tufanye comparison. Maanake unaongelea Nairobi pekee wakati maeneo yenu ya hadhi yapo hivi.
View: https://www.youtube.com/shorts/YdCzRqVDxmQ
Fananisha na Mbezi, High Class neighborhood 12km from siibiidii. 🤣🤣🤣Bagamoyo road yani tena main road pekee ndio unatuonyesha, nimeuliza barabara za mitaani kama nilivyoonyesha za Kilimani. Naweza nikakuonyeshe more than 50km from Nairobi kwa main road na utaona kama hii video yako ni upuzi. Hii hapa 40km from CBD utasemaje.
View attachment 3020681View attachment 3020682View attachment 3020685