Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo road yani tena main road pekee ndio unatuonyesha, nimeuliza barabara za mitaani kama nilivyoonyesha za Kilimani. Naweza nikakuonyeshe more than 50km from Nairobi kwa main road na utaona kama hii video yako ni upuzi. Hii hapa 40km from CBD utasemaje.
View attachment 3020681View attachment 3020682View attachment 3020685
Tatizo lako unapayuka payuka.
Bagamoyo road na sinza wap na wap? Hiyo shekilango road, mori road, igesa road zote Barabara za mtaa za sinza

Au umeanza kuchanganyikiwa?
Nikiamua kuleta evidence za Mji wenu wa Nairobi bila filter hapa mtakimbia jamii forums
Ninawasitiri tu
 
Mikocheni................hii ndio Runda yao sasa. 🤣🤣🤣
instanbul

1-1-png.2720227
 
Tatizo lako unapayuka payuka.
Bagamoyo road na sinza wap na wap? Hiyo shekilango road, mori road, igesa road zote Barabara za mtaa za sinza

Au umeanza kuchanganyikiwa?
Nikiamua kuleta evidence za Mji wenu wa Nairobi bila filter hapa mtakimbia jamii forums
Ninawasitiri tu
Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.

20221124_135741-jpg.2439637
 
Tatizo lako unapayuka payuka.
Bagamoyo road na sinza wap na wap? Hiyo shekilango road, mori road, igesa road zote Barabara za mtaa za sinza

Au umeanza kuchanganyikiwa?
Nikiamua kuleta evidence za Mji wenu wa Nairobi bila filter hapa mtakimbia jamii forums
Ninawasitiri tu
Hivi unajua barabara za mtaa? Barabara imepita kwa shopping center unaita barabara ya mtaa? Basi hii Ngong road pia nitaita barabara ya mtaa wa Kilimani na naona imeshinda hiyo yako mara mia. 🤣 🤣
118702556_1979661038999304_568722948072210869_n.jpg
 
Hivi unajua barabara za mtaa? Barabara imepita kwa shopping center unaita barabara ya mtaa? Basi hii Ngong road pia nitaita barabara ya mtaa wa Kilimani. 🤣 🤣
118702556_1979661038999304_568722948072210869_n.jpg
Hawa majamaa huwa hivo. Wanakuja Nairobi wanapiga picha lami ya vichochoro alafu wanalinganisha na Highways zao ama artery roads zao wanasema eti Nairobi hakuna barabara. Ukienda mitaa yao hata ile ya kifahari hamna barabara kabisa. Msikize huyu mmarekani akiongelea Dar vs Nairobi uachane na hao akina Bertin wenye huongea na emotions na wivu. 🤣 🤣

View: https://www.youtube.com/watch?v=cArwaoCYgm0&t=845s
 
The whole world know how kenyans brag. Dunia ilishawazoea. Even if you bring pictures and long descriptions no one will believe you anymore. Unajichosha tu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom