Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hapa nimepost video moja tu ya Sinza ambayo Barabara zake zina horizontal infrastructure nzr sana kuliko Nairobi CBD lakini Wameikacha wamekimbilia mitaa ya mbezi chini na kwa zena huko karibu na kawe

Nimeamua niachane nao
"Barabara zake"
Barabara Moja inayopita kwa shopping center ndio unaita Barabara zake. Alafu Barabara yenyewe ya kawaida sana.😂😂😂
 
Ndio hizi Barabara huwa tunaambiwa zipo mashinani bongolala.😂😂😂

View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w

Shughulikia kwanza hii kitu mzee. Kisha uje kuanza kuongelea issue za mtu akipita porini 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa sasa huna haki ya kuongea chochote kuhusu Tanzania.

1718817245678.png
 
Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.

Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.

Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.

Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
 
Na kuna mwingine kwenye youtube anajiita iam_peris ameenda coco beach analalamika kuhusu chakula, huku akimponda Explore with Bertin eti alidanganya kuhusu vyakula Coco beach. Ameenda maeneo wanapouza mihogo anatafuta apate ugali 🤣 🤣 🤣 🤣 Wote wanakuja hapa Tanzania wapo na mission ya kuchafua image ya Tanzania. Kwa sasa tumewashitukia. Tutaishauri serikali ianze kuwapiga spana wakija Tanzania.
 
Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.

Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.

Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.

Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
Na mwingine huyu hapa anaitwa Kish My World amekuja na kidemu kutoa Eritrea wanaiponda Tanzania. Wakenya wote wanakuja Tanzania wakiwa na mission ya kuichafua Tanzania. But The good thing tumeshawaelewa. We will deal with then. Na kwa sasa wameanza kuwahusisha Wanyarwanda katika ujinga wao. Sisi tuta deal nao both.
 
Kwa wale ambao wameshtuka kuhusu Twin Towers za Tanzania kujengwa Nairobi. Huo mpango ulianza toka 2010, Kwa wale wa Skyscrapercity watakumbuka, kilichobadilika ni render tu na kiwanja kinaweza kuwa hiko hapo 😎 japo sina uhakika.

Tanzania pia inamiliki Jengo Washtong DC linaitwa Tanzania House, Ni mali yetu walipa kodi na Tujivunie.

IMG_8413.jpeg
 
View attachment 3020990
But I can guarantee you they are not putting up twin towers just for the Embassy… it’s a business venture… they know the booming real estate of Nairobi will bring high returns to the investment, otherwise this should be built in Dar es Slum but it won’t coz it would be a huge loss to Bongo taxpayers….🤣🤣🤣… I know the truth hurts..🤣🤣
 
Back
Top Bottom