President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
What is the source of income ya foreign ministry? Yaani anatuona wa tz wajinga. Kila wizara anayopita lazima aharibu. Hata mzee wake yupo hivyo hivyo. Ni family ya hivyo.Eti jengo kwa ajili ya ubalozi, yn ubalozi ndiyo ujenge twin towers with 22 floors? Haki huyu mtu ana laana, kuna siku atakuja mzalendo atamfunga mjinga huyu.
Foreign ministry siku hizi inafanya biashara?