President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,792
Leta tangible topic tutajadiliana. Ukileta issue zako za kitoto tunakubamiza za kichwa. Uki brag tunaondoka na wewe, ukiandika uongo tunapita na wewe, ukija na style ya bullying tunakula kichwa chako. So usijiondoe ufahamu njoo na tangible facts.Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?