Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kino Yves sio mjinga, Kama anapita kwenye game reserve huwa anasema before, during ama after kufika final destination. LDC imevuliwa chupi on international platform😂
Cha kushangaza ni eneo lililo na mchanga mzuri wenye rotuba, mvua nyingi na vivutio vingi yet very backward kimaendeleo. Eneo kama hilo tukipewa Kenya tunaweza lidevelop sana.
 
Jamaa anajaribu kupretend hajaumia kama wenzake kina choo boy na choice variable kuona pesa zao zinadevelop NBO wakati Arusha Conference centre imekua scrapped off.
😂😂😂😂😂😂😂
Kama tunajenga Sisi alaf tutamiliki Sisi hapo sawa kama wanachofanya wachina, hebu ntajie mradi mmoja mkubwa munaojenga bila owner kua mchina 😂😂😂😂😂😂😂😂

Yani nyinyi munachekesha Sana mutuheshimu kama munavoheshimu wachina na soon tutaanza kawatandika viboko kama walivofanya wachina
 
Nimefurahi sana,Wananchi wengi wamepinga vikali huu ujenzi Kwa Nchi jirani.

Kwa hili Magufuli asingekubali huu ujinga👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8ZwdSpNDeY/?igsh=MW54Z29vMzJmNWZoeQ==

Hii Bado inaniuma

The guy is stupid. Yupo na kamtandao kake kwenye social media. Kama ile movement ya Lowassa iliyokuwa ikiratibiwa na Bashe. 4U Movement ndiye huyo huyo anamhujumu president kwa kutuma watu kwenye mtandao kumtukana.

Alikuwa akishirikiana na Zuhura Yunus na Mange Kimambi kumhujumu president. The guy is very cheap na movements zake anazifanya watu wanaziona. He is not intelligent enough.
 
Ww unadharau maoni yake inaweza kua ina mashiko pia, kwa umesahau wahindi walipewa reli kuendesha je waliifikisha wap?
Hakuna mahala nimedharau maoni yake ,by the way Mimi sio mdau wa Sgr maana sikubaliani na huo mradi kwangu ni mradi white elephant.

Nimewaletea nyie funny wa Sgr mtoe maoni yenu kulingana na huyo bwana.
 
Enhhhh magufuli tena unamkubali?? 😂😂😂
Sio wewe unaemtukana kila siku??

Wacha tunyamaze sina mwanasheria kwa sasa
Unadhani alikuwa hovyo Kwa Kila kitu? Hata katili Huwa muungwana Kwa Baadhi ya watu.

Vitu vya hovyo alikuwa hakubali kufanya ingawa maamuzi yake mengi yalikuwa ya jazba na yasiyoshirikisha.

The problem iliyopo Sasa ni kuamini Kila kinacholetwa mezani,hata kama kinaleta pesa but Kwa maslahi ya utaifa sio sawa.
 
Hakuna mahala nimedharau maoni yake ,by the way Mimi sio mdau wa Sgr maana sikubaliani na huo mradi kwangu ni mradi white elephant.

Nimewaletea nyie funny wa Sgr mtoe maoni yenu kulingana na huyo bwana.
SGR ni lazima sio ombi Taifa ambalo unategemea by 2050 kua na watu million 100 Acha mchezo kabisa mzee 😂😂😂😂
 
Unadhani alikuwa hovyo Kwa Kila kitu? Hata katili Huwa muungwana Kwa Baadhi ya watu.

Vitu vya hovyo alikuwa hakubali kufanya ingawa maamuzi yake mengi yalikuwa ya jazba na yasiyoshirikisha.

The problem iliyopo Sasa ni kuamini Kila kinacholetwa mezani,hata kama kinaleta pesa but Kwa maslahi ya utaifa sio sawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzungu ameamua Ku-confirm vitu ambavyo vloggers wengi huwa wanasema kuhusu vumbistan, tena wanabahati sana jamaa hapitii dar slum, the HQ of Uswazis and tope roads 😂😂...
-No electricity-No Fancy life-Dirt Roads-No shopping CentresView attachment 3021041View attachment 3021042View attachment 3021043View attachment 3021044View attachment 3021045View attachment 3021046View attachment 3021047View attachment 3021048View attachment 3021049View attachment 3021050
Ukitaka kwenda mpanda kutoka kigoma kwa lami, barabara ipo. Ila ni yeye to kaamua kupita hizo back roads. Ukiamgalia kama unaakili timamu utaona kabisa, economic activities ni chache sana, hatuwezi weka pesa kwenye sehemu ambazo watu ninwachache sana. Hatujengi barabara kwa ajili ya kiwafurahisha wakenya au YouTubers!!
 
Kumbe na wewe umegundua. Hakuna sababu yoyote ya kujenga majengo hayo. Anaungana na wakenya ili kuendeleza wizi wake. Asidhani watu ni wapuuzi. Jamaa is very cheap kama baba yake.

Yule baba yake was very cheap alipo kuwa KM kule CCM mtumishi akipewa posho alikuwa akiwakata na kula.

Hiyo family inanuka rushwa na wananunuliwa kirahisi sana. I don't know kwanini Rais kamuweka kwenye wizara nyeti kiasi hicho.
Eti jengo kwa ajili ya ubalozi, yn ubalozi ndiyo ujenge twin towers with 22 floors? Haki huyu mtu ana laana, kuna siku atakuja mzalendo atamfunga mjinga huyu.
 
Eti ndio upperhill tazama eneo lote pori nyumba za kuhesabi na torch 😂😂😂😂

Alaf wako busy kushindana na Tanzania
Hata mm nilitaka kusema hivyo, yani eneo kubwa ni pori ila wakipiga picha za upande upande unaweza kushawishika, kwa mfano hako ka ghorofa huwa wananakapiga picha ya kwenda juu ili kuficha mapori tengefu.
 
Back
Top Bottom