Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So, Let me get this straight… you are disputing my statement because you are saying Tanzania is building 2 twin towers, 22 floors each for one reason only…to fill the whole place with Embassy offices???… kwani what kind of representation are you trying to install in your diplomacy with Kenya?….🤣🤣🤣🤣🤣…. Try again..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nadhani umegundua upumbavu wako, now unajaribu kujitetea, yani ukubwa wa Tanzania utegemee mapato kutoka kighorofa kimoja? Hiyo ni pesa ya mtu mmoja mpigaji ambaye kwa sasa ndiye waziri wa mambo ya nje anaitwa Makamba jr, hakuna wizara aliyopita asiharibu huyo jamaa, hayo majengo ni mkakati wake wa upigaji.
 
Unless you are creating the office of Tanzania Beggars in Kenya (OTBK), then 2 twin towers might not be enough, you need a third tower for the workload in bureaucracy accommodation …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We mbeba box a.k.a mwai sadima Dickson mpumbavu wa ukoo wa sadima boxes zimekula ubongo wako? Au trekta limekuchosha? Hebu niambie.
 
So, Let me get this straight… you are disputing my statement because you are saying Tanzania is building 2 twin towers, 22 floors each for one reason only…to fill the whole place with Embassy offices???… kwani what kind of representation are you trying to install in your diplomacy with Kenya?….🤣🤣🤣🤣🤣…. Try again..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Economic diplomacy we are bringing our Tanzanian agencies and companies to kenya all will be accommodated in that building including government grain suppliers, Tanzania Ports Authority and TRC we are coming for your pie in your own land.
 
Nadhani umegundua upumbavu wako, now unajaribu kujitetea, yani ukubwa wa Tanzania utegemee mapato kutoka kighorofa kimoja? Hiyo ni pesa ya mtu mmoja mpigaji ambaye kwa sasa ndiye waziri wa mambo ya nje anaitwa Makamba jr, hakuna wizara aliyopita asiharibu huyo jamaa, hayo majengo ni mkakati wake wa upigaji.
Kumbe na wewe umegundua. Hakuna sababu yoyote ya kujenga majengo hayo. Anaungana na wakenya ili kuendeleza wizi wake. Asidhani watu ni wapuuzi. Jamaa is very cheap kama baba yake.

Yule baba yake was very cheap alipo kuwa KM kule CCM mtumishi akipewa posho alikuwa akiwakata na kula.

Hiyo family inanuka rushwa na wananunuliwa kirahisi sana. I don't know kwanini Rais kamuweka kwenye wizara nyeti kiasi hicho.
 
Wapi hapo ametembea kwa game reserve? Wacha excuses mjenge barabara.
Kino Yves sio mjinga, Kama anapita kwenye game reserve huwa anasema before, during ama after kufika final destination. LDC imevuliwa chupi on international platform😂
 
Nimefika sasa nyie wakenya wenye elimu duni. Hapa hatuongelei Trivial Information tuna jadiliana serious issues.

Hizi childish agendas nendeni mkajadiliane kule kunyatalk.com

So whatever you bring here must accompanied by evidences and references.
Do you have those two?
 
Kumbe na wewe umegundua. Hakuna sababu yoyote ya kujenga majengo hayo. Anaungana na wakenya ili kuendeleza wizi wake. Asidhani watu ni wapuuzi. Jamaa is very cheap kama baba yake.

Yule baba yake was very cheap alipo kuwa KM kule CCM mtumishi akipewa posho alikuwa akiwakata na kula.

Hiyo family inanuka rushwa na wananunuliwa kirahisi sana. I don't know kwanini Rais kamuweka kwenye wizara nyeti kiasi hicho.
Si nilisema mimi yule jamaa wa one liner ana pretend lakini wenzake wameumia, sema wanamuogopa hawawezi muambia. Hilo jengo likiisha tutawatambia humu ndani hatutaki kujuwa nilanani 😂😂😂😂😂
mwaiofhawaii
 
Nimefika sasa nyie wakenya wenye elimu duni. Hapa hatuongelei Trivial Information tuna jadiliana serious issues.

Hizi childish agendas nendeni mkajadiliane kule kunyatalk.com

So whatever you bring here must accompanied by evidences and references.
Do you have those two?
Hawana miradi ya kupost, hawana shughuli za kufanya, hawana vitu vya maana vya kupost...unategemea nini. 😂😂😂
 
Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.

Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.

Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.

Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
Adui no 1 WA Tanzania ni Kenya na hili mbona nishazungumza Sana 😂😂😂😂

Na wakenya hudhani Tanzania ndio mhasimu wao mkubwa, ajabu Sana, wao vita Yao kubwa hua hawataki Tanzania ifanye maendeleo kuwapita wao, walianzisha miradi mingi kushindana na Tanzania sijui railway city haya waulize kiko wapi??? Miradi mikubwa asilimia 99 inamilikiwa na mchina na ni Mali ya mchina alaf wakija humu ohh Sisi ni USA ya Africa 😂😂 ohh bus zinazokuja Tanzania kutoka china ni fake
 
Si nilisema mimi yule jamaa wa one liner ana pretend lakini wenzake wameumia, sema wanamuogopa hawawezi muambia. Hilo jengo likiisha tutawatambia humu ndani hatutaki kujuwa nilanani 😂😂😂😂😂
mwaiofhawaii
Mzee unaijua system ya Tanzania kweli? Hilo Jengo litaishia kwenye paper work zake tu. Tanzania yote inamjua na harakati zake.

Makamba is Lowassa version two. Kule TANESCO na plan yake ya kununua majenereta iliishia kwenye paper work tu. We have Intel in our country is very complex.

Jengo likijengwa na kukamilika utaniambia nipo palee.
 
Adui no 1 WA Tanzania ni Kenya na hili mbona nishazungumza Sana 😂😂😂😂

Na wakenya hudhani Tanzania ndio mhasimu wao mkubwa, ajabu Sana, wao vita Yao kubwa hua hawataki Tanzania ifanye maendeleo kuwapita wao, walianzisha miradi mingi kushindana na Tanzania sijui railway city haya waulize kiko wapi??? Miradi mikubwa asilimia 99 inamilikiwa na mchina na ni Mali ya mchina alaf wakija humu ohh Sisi ni USA ya Africa 😂😂 ohh bus zinazokuja Tanzania kutoka china ni fake
Cb amepost video akicheza komasava sasa wakunya wamejazana kwenye comments wakiweka vibendera vyao, wana shobo balaa. 😂😂😂
 
Kwa wale ambao wameshtuka kuhusu Twin Towers za Tanzania kujengwa Nairobi. Huo mpango ulianza toka 2010, Kwa wale wa Skyscrapercity watakumbuka, kilichobadilika ni render tu na kiwanja kinaweza kuwa hiko hapo 😎 japo sina uhakika.

Tanzania pia inamiliki Jengo Washtong DC linaitwa Tanzania House, Ni mali yetu walipa kodi na Tujivunie.

View attachment 3020990
Eti ndio upperhill tazama eneo lote pori nyumba za kuhesabi na torch 😂😂😂😂

Alaf wako busy kushindana na Tanzania
 
Back
Top Bottom