The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,656
- 98,932
Kwnn walighairi kuongeza mishahara ya wafanyikazi wake kwa 100% kama walivyosema hapo mwanzo? Walitaka kujipapatua kama ilivyo kawaida ya wakenya lkn uhalisia ukawaumbua, hivi tunavyoongea kq inataka kupunguza wafanyakazi.KQ Imepata 35% increase in passengers na kufikia whooping 5M, usilete kunguni kwa pride of Africa..View attachment 3019403