Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wengi waliokuwa wanaendesha DAr-Moro-Dom wataacha kuendesha na kupanda treni,mimi mmoja wao.
Hata mimi. Just imagine unajaza full tank bei yake almost Tsh 200,000 + Kuchoka. Na kuendesha private inakuchukua more than 5 hours. Hapa speed yako ni more than 120Km/h average.
Zile za mchongoko Business Class ni Tsh 100,000, Royal Class 120,000. only 3hrs
 
Kwa hiyo yeye anakomaa na majirani tu.Mkuu Urusi Alishakuwa mkoloni enzi Hizo.Alaska iliwahi kuwa chini ukoloni wa kirusi baada ya kuvamia na baadae Urusi akauza Marekeni.Urusi ilitaka kuitawala Finland kupata access ya Baltic sea lakini alishindwa .
Himaya yote hiyo waliyonayo Warusi walirithi kutoka himaya ya Mongolia. Hivyo waliokuwa na uchu wa kikoloni ni Mongolia. Baltic sea teyari walikuwa nayo. kumbuka kipindi hicho Lithuania, Latvia na Estonia zilikuwa kwenye shirikisho la USSR.
Kwangu Mimi Mrusi ni mkoloni kama wakoloni wengine sema itikadi zake ndio zinamgombanisha na Magharibi toka Karne na karne
Hivi kati na Urusi na nchi za Ulaya Magharibi nani anamchokoza mwenzake? Unafikiri hao watu wanaoongea kirusi kule Odessa Ukraine, walienda huko wakati wa USSR?. Wamekuwepo huko toka 1700's (kabla hata Marekani haijaundwa), wao ndiyo walioujenga huo mji. Na kama ulikuwa hujui, Kiev ndiyo ilikuwa makao makuu ya Russian empire kabla ya kuhamishiwa Moscow.
 
Air defense system for what? It's like someone living in a mud house and building electric fence.
In fact tumechelewa kuzinunua, tumezunguka na soo many hostile states and groups. We need to counter Ugandas Sukhoi jets and Tanzanians Chinese garbage.
 
Seriously?! So Uganda and Tz are hostile? Don't tell Somalian militias are giving you sleepless nights.
Any country which we don't have a military pact or alliance can be called hostile. We can't waste 5bn Ksh equipment on rag tag militias, it has to be a conventional army. Ethiopia also has the system to protect themselves from Egypt. Also theirs need to protect our sovereignty in case of attacks from countries like Turkey which wants to steal our waters on behalf of somalia
 
Any country which we don't have a military pact or alliance can be called hostile. We can't waste 5bn Ksh equipment on rag tag militias, it has to be a conventional army. Ethiopia also has the system to protect themselves from Egypt. Also need to protect our sovereignty in case of attacks from countries like Turkey which wants to steal our waters on behalf of somalia
So all these times you have been living without air defence 🤣🤣🤣🤣
 
Why not Heathrow? Gatwick mbali na London na miji mingine. Kutoka central London mpaka Gatwick ni kama 70km hivi. Wanaita London Gatwick lakini haipo London.
But kuna Gatwick express train mpaka Victoria Station iko very efficient. Halafu mtu anayeshukia Gatwick anaweza akawahi mjini kuliko anayeshukia Heathrow maana Heathrow iko zone 5/6 na congestion ya mjini unachelewa kufika central london hata kwa tube bado Heathrow ni mbali kdg
 
Nimecheka Sana, BRT pia imechoka 😅😅🙌





View attachment 3019331
FB_IMG_17186381745704027.jpg
 
So all these times you have been living without air defence 🤣🤣🤣🤣
Avoid kuanika ujinga, Kenya operates 4 squadron of Marcon s600 AD Radars at different FOBs in Kenya. What we need is a complete air defense system that can detect and intercept with minimal supervision and with a great range.
Screenshot_20240512-015943_1.jpg
kdfs-most-secretive-unit-unmasked-explained-dont-tell-them-v0-6ka0yjoeg00d1.jpg
 
But kuna Gatwick express train mpaka Victoria Station iko very efficient. Halafu mtu anayeshukia Gatwick anaweza akawahi mjini kuliko anayeshukia Heathrow maana Heathrow iko zone 5/6 na congestion ya mjini unachelewa kufika central london hata kwa tube bado Heathrow ni mbali kdg
No way. Gatwick iko kushoto. Ndio maana flight from same airline ya kushukia Gatwick is cheaper than kushukia Heathrow.
Congestion ya nini wakati Kuna Heathrow Express to London Paddington achilia mbali tube. There is no way anayeshukia Gatwick akamuwahi anaeshukia Heathrow ndio maana tiketi za Gatwick ni cheaper wanajua hussle yake.
 
Back
Top Bottom