Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No way. Gatwick iko kushoto. Ndio maana flight from same airline ya kushukia Gatwick is cheaper than kushukia Heathrow.
Congestion ya nini wakati Kuna Heathrow Express to London Paddington achilia mbali tube. There is no way anayeshukia Gatwick akamuwahi anaeshukia Heathrow ndio maana tiketi za Gatwick ni cheaper wanajua hussle yake.
Heathrow kupata slot ni shida congestion ni kubwa sana ila nasikia Air Tanzania anayo slot pale sasa sujui kana hujaitumia will it still be valid ama?
 
Hotel mpya znz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Screenshots_2024-06-17-23-36-45.png
Screenshots_2024-06-17-23-38-00.png
Screenshots_2024-06-17-23-38-18.png

Screenshots_2024-06-17-23-41-25.png

Screenshots_2024-06-17-23-42-37.png
Screenshots_2024-06-17-23-42-28.png
Screenshots_2024-06-17-23-42-47.png
 
Heathrow kupata slot ni shida congestion ni kubwa sana ila nasikia Air Tanzania anayo slot pale sasa sujui kana hujaitumia will it still be valid ama?
Kipindi wameungana na SAA kuunda Alliance air waliwapa hao jamaa slot zao. Sijui status yake ikoje sasa hivi.
 
Mmm Zanzibar ni yamoto balaa
Ebana Niko kwenye mji wako kunani tanga aloo tanga inajengeka mzee nimezunguka maeneo ya raskazoni Huko utasema Niko masaki majumba ya maana yametapika 🙌🙌

Hata hii njia ya kwenda pangani kuna maeneo yamejengeka mzee aloo watu wanajenga nchi hiii, nyumba za maana zimetapika, kitu nimependa tanga Barabara zote za mjini ni lami alaf ziko well planned, alaf mji msafi kila Kona, nimeenda maeneo ya forodhani Leo sikukuu kumetapika 🙌🙌🙌🙌
 
Raskazone, Nguvumali, Sahare, Bombo area, Donge, Mzingani along Tanga beach road and some parts of Usagara CAC, hii ndio mitaa yetu ya kishua Tanga imepangwa vyema na majumba yamejengwa sana huko. I recommend you utembelee Tanga beach resort bhana, kama utakua na muda wa kutosha.
 
Forget Tatu City, Northlands City, Garden City or Konza City. TILISI Industrial City is developing so fast
Screenshot_2024-06-17-19-30-49-39_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom