Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie wakunya changamkieni hiyo fursa mtakuja kulialia hapo mbeleni wacha KETRACO waendelee kukosa hela ya kulipa fidia wakati AfDB wameshatoa hela tayari tangu 2015

Wakunya wasiuziwe umeme... Waendelee na utoto wao tu na foolish ego... Wenye viwanda huko kwao watahamisha uwekezaji.. Kupeleka sehemu yenye cheap na reliable power supply.

Tunatakiwa kuwakalisha hao kenge wa North on their knees mpaka watubu dhambi yao ya unafiki na uzandiki.
 
Misplaced priorities kila siku huwa nawaambia hapa. Pili you have a new nickname a major non NATO member kwenye category ya US allies so brace yourself for CIA run US corporateocracy.
Mtanunua sana vitu ambavyo hamuhitaji kwa sasa mtaambiwa Tz inataka kuwashambulia mara DRC na Uganda wana mipango mibaya juu yenu mkija kushtula mko deep into American pockets.
 
Wakunya wasiuziwe umeme... Waendelee na utoto wao tu na foolish ego... Wenye viwanda huko kwao watahamisha uwekezaji.. Kupeleka sehemu yenye cheap na reliable power supply.

Tunatakiwa kuwakalisha hao kenge wa North on their knees mpaka watubu dhambi yao ya unafiki na uzandiki.
Tusipowapelekea watakuja kujazana huku kwetu na kutufundisha tabia zao mbaya na pia wanaweza wakaja kuanzisha slums huku
 
Tanzania is like water you cannot avoid it. Your fate is on our hands.

Huyu ndiye 👇 mnamtegemea kwa umeme 🤣🤣🤣🤣
Hawa jamaa walikuwa wanatubeza tuna umeme wa kutosha wa ardhini,mara wa upepo kumbe ni KIFURUSHI toka Ethiopia 😆😆
 
Back
Top Bottom