ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
Kumbe maana ya nyang'au ni fisi 🤣Naona huyu nyang'au Teargas ametupwa lupango; sasa si ataugua kabisa kuikosa JF?
Kumbe maana ya nyang'au ni fisi 🤣Naona huyu nyang'au Teargas ametupwa lupango; sasa si ataugua kabisa kuikosa JF?
Ndio maana mchina anakimbiza kabla tongo tongo hazijawatokaTalanta Mali ya mchina saaaafi 😅😅😅😅
kujiliwaza huku.Ndio maana mchina anakimbiza kabla tongo tongo hazijawatoka
Mm nikiwa naenda ulaya au Marekani sithubutu kupanda hiyo ndege, ma delays ma cancellation kama yote on daily basis, kila siku ugomvi na abiria, hiyo ndege au daladala.
Duh jua kali as usual.Construction at UON underpass tunnel
...
View attachment 3019361View attachment 3019362View attachment 3019363View attachment 3019365
U17 haihitaji CAF approved stadiums. No wonder national team yenu ilibidi mkaombe Malawi wacha ujinga.According to JF, there's no CAF stadium in Kenya...View attachment 3019352View attachment 3019353View attachment 3019354
Tulishapita huko kitambo, sisi ndiyo nchi ya kwanza kufika huko, na ili muwe sawa na sisi inabidi mfike japo semi final.Football Kenya.. View attachment 3019349
Hivi hapa JF upo na aacunts ngapi? Baada ya zile mbili za jana kupigwa ban naona accounts kama 6 zimekuwa active.Nimeingia Tik Tok kidogo nakutana na content za wanavumbistan wakipelekwa moto sio mchezo, ndio maana wanahasira JFView attachment 3019337