The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Misaada Republic,mnaona jinsi mashine ziko full mpunga(wali) hapa?You have proved me right.
👇👇
My Take: Haifiki Oktoba lazima tusikie Kilio Cha kuomba Msaada 😆😆
Misaada Republic,mnaona jinsi mashine ziko full mpunga(wali) hapa?You have proved me right.
Hilo neno lilianza kutumiwa sana na Nyerere kabla na baada ya kuvunjika kwa EAC katikati ya miaka ya sabini akiwaita wakenya hivyo, yaani ni kama mafisi vile. Ingawa pia ni jina la ukoo huko Kenya😎😎Kumbe maana ya nyang'au ni fisi 🤣
KQ Imepata 35% increase in passengers na kufikia whooping 5M, usilete kunguni kwa pride of Africa..Mm nikiwa naenda ulaya au Marekani sithubutu kupanda hiyo ndege, ma delays ma cancellation kama yote on daily basis, kila siku ugomvi na abiria, hiyo ndege au daladala.
Unaongea kama Teargas 😉😎😁Mkundu firimbi unajua kwamba tulicheza hio game first leg Ethiopia kwa sababu Burundi hawana CAF stadium.
Tuna BRT inafanya KAZI SASA ni miaka 7 mzee, ajali ya kawaida Sana hio
Akili zenu zimejaa matope mbona hakuondoka na KQ😂😂😂😂
Kumbe womens na men muko wap😂😂😂Football Kenya.. View attachment 3019349
Haya mashindano ni Nani anafatilia Yani akili zenu nyinyi??😂😂😂😂😂😂According to JF, there's no CAF stadium in Kenya...View attachment 3019352View attachment 3019353View attachment 3019354
Tuko juu yenu tukiwapumulia pumzi moto 😅😅😅😅😅Kumbe womens na men muko wap😂😂😂
Haya mashindano ni Nani anafatilia Yani akili zenu nyinyi??😂😂😂😂😂😂
View: https://x.com/EricNjiiru/status/1780160556319531236?t=L94-OvzNnM4MIw8Rn1VUdg&s=19
Hata ujui nini unasema ilimradi wivu tu. Egypt, Morocco kote hulipa zaidi ya SA. Tanzania na SA almost the same kwa sasa ndio maana hata wataalam wao wa mpira na wachezaji wanaajiriwa Tanzania na Egypt, Morocco tu.Maoni yako.., Tanzania ni mbwembwe ndio kivutio., trending football, ndoto ya wana soccer ni Europe, Asia, ama marekani, Africa pengine kidogo South Africa, Tanzania ni daraja tu.., usijitekenye
Tuletee na ya wanaume SASA 😂😂😂Tuko juu yenu tukiwapumulia pumzi moto 😅😅😅😅😅
Jibu swali kwnn timu yenu ya taifa haichezi nyumbani? Inawezekana huko Burundi hakuna japo uwanja jua kali kama huoMkundu firimbi unajua kwamba tulicheza hio game first leg Ethiopia kwa sababu Burundi hawana CAF stadium.
Unacheka ajali?