Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,657
Umechanganyikiwa mpaka unaquote post ambayo haihusiani kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wachezaji wote wa nje ndio maana National team ni ovyo.
I feel your pain young man. Usijali lakini ndo maisha.Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!
-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Hivi kwenye Berlin conference Urusi walichukua maeneo gani vile, au hiyo historia umeisahau?Mkuu hata Mimi siungi mkono matendo ya Urusi.Historia inaonesha toka enzi na enzi Urusi ni kabaila.Alishai inyang'anya Finland 11% ya Ardhi yake,2008 Kuna eneo kapora Georgia kimabavu,Kuna kisiwa cha Kalingard nacho alipora kutoka Sweden.Sasa Putin anaweka sharti la Ukraine Ijiondoe kutoka kwenye mikoa minne yaani Ukraine ijiondoe Ukraine huu ni uhuni
Inaonekana hajui kiundani kuhusu huo mgogoro ajipe task yakupata darasaHivi kwenye Berlin conference Urusi walichukua maeneo gani vile, au hiyo historia umeisahau?
Inaonekana hajui kiundani kuhusu huo mgogoro ajipe task yakupata darasaHivi kwenye Berlin conference Urusi walichukua maeneo gani vile, au hiyo historia umeisahau?
Na kuna hawa DP world. Watatulalia but pia tutafaidika na ushawishi wa kibiashara kwa landlocked countries. Wataalam wa kiuchumi tusaidieni kuelewa hili la DP world.Halafu wanasahau serikali ya TZ imefungua maghala ya nafaka South Sudan na Congo hivyo biashara ya Kenya kununua mahindi Tz na kwenda kupiga cha juu Sudan imekufa hence mauzo madogo kwenda kenya msimu huu 🤣🤣🤣
Ndiyo sura ya Tanzania normal living standards, hiyo kwao siyo slum, ndio maisha ya kawaida sana.., average standard ya raiya.
Nikisema nyie ni wapumbavu, wajinga, maboya, mikwara, akili za vijiweni, zote combined mnalia lia,😂😂😂😂, kipande cha Malaba kimeanza kweli?.. ata uzinduzi wa kazi bado, mkandarasi bado! Mombasa Nairobi 400km approximately 2 years., yenu 200km 6 plus years.., mara kazi inasimama eti hakuna hela, mkandarasi hajalipwa, ama na pia yeye anatafuta hela, wafanyikazi hawalipwi kwa wakati, boss🤣🤣🤣🤣, matatizo yenu ni yenu pekee yenu., hatufanani.,Kwani nyie kipande cha malaba kimewachukua muda gani kama sio 11 years now na bado hakijulikani kitaisha lini.
Tandale sio average standard of living hapa Dar mkuu, tandale, vingunguti, manzese n.k yote ni maeneo popular yenye uswazi na tunayachukulia kuwa ni maeneo wanapoishi maskini wa hali ya chini zaidi hapa Dar..Ndiyo sura ya Tanzania normal living standards, hiyo kwao siyo slum, ndio maisha ya kawaida sana.., average standard ya raiya.
Kumbe bado.., siwaoni world cup?..,..nilidhani mlifuzu kumbe ni bado!! niliwatamani sana huu mwaka ili tuwalime..,Sisi tulishapita huko kitambo na tukafanya wonders za kutosha, pambaneni mtafika View attachment 3018686View attachment 3018687View attachment 3018688
Ndiyo sura ya Tanzania mkuu., tusisumbuane asubuhi🤣🤣🤣🤣🤣.,Tandale sio average standard of living hapa Dar mkuu, tandale, vingunguti, manzese n.k yote ni maeneo popular yenye uswazi na tunayachukulia kuwa ni maeneo wanapoishi maskini wa hali ya chini zaidi hapa Dar..
Ili tuone mmefanikiwa inabidi mpite pale ilipoishia Tanzania, mfike fainali la sivyo mnakuwa bado hamna mlichokifanya.Kumbe bado sana.., siwaoni world cup?..,..nilidhani mlifuzu kumbe ni ndoto bado!! niliwatamani sana ili tuwalime..,
View attachment 3019127
Ni nyie nilitaka, mengine sijali, lazima tuwalambe tunapokutana, bibi zetu nyie kwa sportsIli tuone mmefanikiwa inabidi mpite pale ilipoishia Tanzania, mfike fainali la sivyo mnakuwa bado hamna mlichokifanya.
Hao wachezaji wa timu yenu wote hao ndoto zao ni kucheza Tanzania.Ni nyie nilitaka, mengine sijali, lazima tuwalambe tunapokutana, bibi zetu nyie kwa sports
Gor Mahia wameiomba Yanga kuja kuzindua uwanja wenu wa Kisumu jua kali Stadium, ngoja tuone kama kweli mna balls 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni nyie nilitaka, mengine sijali, lazima tuwalambe tunapokutana, bibi zetu nyie kwa sports