Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wachezaji wa timu yenu wote hao ndoto zao ni kucheza Tanzania.
Maoni yako.., Tanzania ni mbwembwe ndio kivutio., trending football, ndoto ya wana soccer ni Europe, Asia, ama marekani, Africa pengine kidogo South Africa, Tanzania ni daraja tu.., usijitekenye
 
Gor Mahia wameiomba Yanga kuja kuzindua uwanja wenu wa Kisumu jua kali Stadium, ngoja tuone kama kweli mna balls 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yanga wamekubali aliko? Have they confirmed! Haven't seen this news...,
 
Hii speed ya SGR TZ ni verifiable ila speed ya ile ngombe ya mkaa 200km/h is unverifiable 🤣🤣🤣
Speed hata 100 haijafika ila taa za danger kama zote 😅😅😅😅😅

Screenshots_2024-06-15-12-21-06.png
 
Bado mkuu mdogo mdogo ndio kwanza units 2 ndio ziko online the rest zikikamilika ndio totakaa chini ku chart out new tariffs. But still our electricity ni cheap kwa EA. Kenya unit Kwh ni 0.22 dollars while TZ ni 0.11.
But infaa ishuke zaidi na wajiandae kushusha ili watu wahame kwenye matumizi ya mkaa waingie kwenye matumizi ya gas na umeme hii ni muhimu Sana, na wakipunguza bei per unit hata matumizi yataongezeka Sana
 
Back
Top Bottom