Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafurahisha 🤣🤣 by the way next month tunazindua treni ya Dar-Makutopora, around 700+ km..

Nikija kwenye suala la bajeti, hizo number kubwa kwenye bajeti yenu zimewasaidia kufanya nini so far.? How many bigger projects going on in Kenya currently...? 🤣🤣🤣 nasubiri majibu.
Yani treni ya Dar Makutupora a distance of 700km itawahi kufika 3 hours early kuliko ile ngombe ya Naipori Mombasa a distance of 470km 🤣🤣🤣🤣
 
Fact remains, kasehemu kadogo kamewachukua miaka mingi mno., picha ya ufukara, uchumi hafifu.., budget ya taifa mnahitaji boost ya over 40% kutoka kwa loans, ilhali Kenya tunahitaji 3.6% pekee ya loans, we can borrow internally., mbwa Koko nyie, jinyonge masikini, 200km miaka sita plus!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
Kwani nyie kipande cha malaba kimewachukua muda gani kama sio 11 years now na bado hakijulikani kitaisha lini.
 
Unafurahisha 🤣🤣 by the way next month tunazindua treni ya Dar-Makutopora, around 700+ km..

Nikija kwenye suala la bajeti, hizo number kubwa kwenye bajeti yenu zimewasaidia kufanya nini so far.? How many bigger projects going on in Kenya currently...? 🤣🤣🤣 nasubiri majibu.
A default answer will most likely be Talanta 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo ulikuwa huoni tunavyopost maendeleo ya SGR Tz? Kwamba hujui tulikuwa tunajenga phase zote kwa wakati mmoja? Btw, co nyinyi mlikuwa mkitaka tuwaoneshe 1cm ya SGR Tz? Now mmebadili wimbo, dozi zinaendelea mpaka mtii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sindano zimeingia mpaka kwenye ubongo wote wamechanganyikiwa na kupoteana 🤣🤣🤣
 
Napitia pitia thread hapa, naona kamekuwa banned, imeakuaje? 😄
au JF imeamua kupumzisha baada ya kumuona yuko jobless, yuko online 24/7...
View attachment 3018821
Kajamaa kapo online masaa 24 aisee, miaka michache ijayo jf ndio itakuwa platform pendwa zaidi kule Kenya mana contents zake hawa wakenya wamezipenda mno, hata kazi kufanya hawataki masaa yote jf tu, na usidhani wapo forum hii tu, no wanatembelea forums kibao humu jf, hawa tunao tuwazoee tu japo wananiudhi kila kitu cha mtanzania wanataka kujimilikisha.
 
Mkiambiwa NBC PREMIER LEAGUE NI KUBWA HAMTAKUJA IFIKIA MNABISHA CHEKI HII

Wachezaji wanaotumikia timu za Taifa kutoka NBC Premier League world Cup Qualifiers.

Singida Blackstars (Ihefu)

1. Duke Abuya (Kenya na mfungaji pekee wa Goli la Burundi)
View attachment 3018809

2. Benjamin Tanimu (Nigeria ameingia first Eleven)
View attachment 3018811

3. Amadou momade (Mozambique)
View attachment 3018812

4. Benson Mangolo (Botswana Starting)
View attachment 3018813

5. Marouf Tchakei (Togo First Eleven)
View attachment 3018816

Namungo Fc

1. Derick Mukombozi (Burundi First team)

2. Nahimana Jonathan (Burundi first Team GK)
View attachment 3018820

Azam FC
Wengi Taifa Stars, hawajapost walioitwa

Yanga Sc

1. Djigui Diara (Mali best Player)
View attachment 3018823

2. Khalid Aucho (Uganda anajulikana mpaka ni Captain)

3. Ki Aziz (Burkina Faso)
View attachment 3018826

Pacome Zouzua (Ivory Coast Aliitwa March)

Simba SC
Kutokua na msimu mzuri umefanya baadhi ya wachezaji wasiitwe japo huko nyuma walikua wanaitwa, Taifa stars tu ndio imeita.

Ntibanzokiza Said (Burundi)
View attachment 3018827

Wachezaji Kutoka Mabara Mengine Waliokuja NBC Premier league

AMERICA KUSINI

Yanga:
1. Genilison Santos (Jaja) (Brazil)
2. Andrey Countinho (Brazil)
View attachment 3018832
View attachment 3018833

Simba.
1. Gerson FRAGA (Brazil)
2. Tairone Zeguiero (Brazil)
4. Wilker Da Silva (Brazil)
View attachment 3018834
View attachment 3018835

Singida Big Stars
Wote Wabrazil.
1. Peterson Da Cruz (PEU)
View attachment 3018844View attachment 3018845View attachment 3018846View attachment 3018847

2. Dario Federico
View attachment 30188483. Bruno Gomez
View attachment 3018849

Azam FC

1. Franklin Navarro (Colombia)
View attachment 3018850

2. Yeison Fuentes (Colombia)
View attachment 3018851

3. Ever Meza (Colombia)
View attachment 3018852

Wote wapo wanakipiga new signings.

EUROPE

Yanga

1.Obren Curkovic (Serbia)
View attachment 3018853

Simba
1. Dejan (Serbia)
View attachment 3018856
View attachment 3018858
View attachment 3018859

Asia

Geita Gold Mine

1. Shinoubu Sakai (Japan)
View attachment 3018860

North Africa Inasifika Kimchezo Ila tunaweza waleta watu kutoka vilabu vyao bila nongwa, Now Timu za Tanzania zina uwezo wa kumleta mchezaji wa Ndani ya Bara hili even if ligi ni maarufu.

1. Ayoub Lakred ( FAR RABAT)
View attachment 3018861

2. Fabrice Ngoma (RAJA CASABLANCA)
3. PACOME ZOUZUA (ASEC MIMOSAS)
4. KI AZIZ (ASEC MISOSAS)

Na hii NBC PREMIER LEAGUE mchezaji hawazi kuhusu timu ya Taifa akiperform kuitwa inawezekana tu. Hamuoni hapo Nigeria ina mastaa ulaya wa kutosha ila TANIMU Wa singida huku kaingia first Eleven

Ligi ipo top Ten kwa timu with the Most Social Media Followers Africa.

Ligi ya NBC ni moja ya Ligi zinazopeleka timu 4 mashindano ya CAF, timu mbili zinaanzia hatua ya mwisho.

KPL LEVEL HIZI MTAFIKA LINI?

Sasa hapo pote Ligi ikiitwa ya 5 mnaona nongwa.
NBC Premier league ni one of the most followed league in Africa.
 
Halafu wanasahau serikali ya TZ imefungua maghala ya nafaka South Sudan na Congo hivyo biashara ya Kenya kununua mahindi Tz na kwenda kupiga cha juu Sudan imekufa hence mauzo madogo kwenda kenya msimu huu 🤣🤣🤣
Then hao wakongo na south sudan wako tayari kununua hata unga wa mahindi iko kitu kunyan ambacho walikua hawataki
 
Mkiambiwa NBC PREMIER LEAGUE NI KUBWA HAMTAKUJA IFIKIA MNABISHA CHEKI HII

Wachezaji wanaotumikia timu za Taifa kutoka NBC Premier League world Cup Qualifiers.

Singida Blackstars (Ihefu)

1. Duke Abuya (Kenya na mfungaji pekee wa Goli la Burundi)
View attachment 3018809

2. Benjamin Tanimu (Nigeria ameingia first Eleven)
View attachment 3018811

3. Amadou momade (Mozambique)
View attachment 3018812

4. Benson Mangolo (Botswana Starting)
View attachment 3018813

5. Marouf Tchakei (Togo First Eleven)
View attachment 3018816

Namungo Fc

1. Derick Mukombozi (Burundi First team)

2. Nahimana Jonathan (Burundi first Team GK)
View attachment 3018820

Azam FC
Wengi Taifa Stars, hawajapost walioitwa

Yanga Sc

1. Djigui Diara (Mali best Player)
View attachment 3018823

2. Khalid Aucho (Uganda anajulikana mpaka ni Captain)

3. Ki Aziz (Burkina Faso)
View attachment 3018826

Pacome Zouzua (Ivory Coast Aliitwa March)

Simba SC
Kutokua na msimu mzuri umefanya baadhi ya wachezaji wasiitwe japo huko nyuma walikua wanaitwa, Taifa stars tu ndio imeita.

Ntibanzokiza Said (Burundi)
View attachment 3018827

Wachezaji Kutoka Mabara Mengine Waliokuja NBC Premier league

AMERICA KUSINI
Yanga:
1. Genilison Santos (Jaja) (Brazil)
2. Andrey Countinho (Brazil)
View attachment 3018832
View attachment 3018833

Simba.
1. Gerson FRAGA (Brazil)
2. Tairone Zeguiero (Brazil)
4. Wilker Da Silva (Brazil)
View attachment 3018834
View attachment 3018835

Singida Big Stars
Wote Wabrazil.
1. Peterson Da Cruz (PEU)
View attachment 3018844View attachment 3018845View attachment 3018846View attachment 3018847

2. Dario Federico
View attachment 30188483. Bruno Gomez
View attachment 3018849

Azam FC

1. Franklin Navarro (Colombia)
View attachment 3018850

2. Yeison Fuentes (Colombia)
View attachment 3018851

3. Ever Meza (Colombia)
View attachment 3018852

Wote wapo wanakipiga new signings.

EUROPE

Yanga

1.Obren Curkovic (Serbia)
View attachment 3018853

Simba
1. Dejan (Serbia)
View attachment 3018856
View attachment 3018858
View attachment 3018859

Asia

Geita Gold Mine

1. Shinoubu Sakai (Japan)
View attachment 3018860

North Africa Inasifika Kimchezo Ila tunaweza waleta watu kutoka vilabu vyao bila nongwa, Now Timu za Tanzania zina uwezo wa kumleta mchezaji wa Ndani ya Bara hili even if ligi ni maarufu.

1. Ayoub Lakred ( FAR RABAT)
View attachment 3018861

2. Fabrice Ngoma (RAJA CASABLANCA)
3. PACOME ZOUZUA (ASEC MIMOSAS)
4. KI AZIZ (ASEC MISOSAS)

Na hii NBC PREMIER LEAGUE mchezaji hawazi kuhusu timu ya Taifa akiperform kuitwa inawezekana tu. Hamuoni hapo Nigeria ina mastaa ulaya wa kutosha ila TANIMU Wa singida huku kaingia first Eleven

Ligi ipo top Ten kwa timu with the Most Social Media Followers Africa.

Ligi ya NBC ni moja ya Ligi zinazopeleka timu 4 mashindano ya CAF, timu mbili zinaanzia hatua ya mwisho.

KPL LEVEL HIZI MTAFIKA LINI?

Sasa hapo pote Ligi ikiitwa ya 5 mnaona nongwa.
Bro umeua, na kuanzia leo onwards hakuna mkenya atathubutu kulinganisha kpl na NBC, asante sana kaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu raisi wao ni tahira sana, 🤣🤣 kenya ni vi puppet wa wazungu.. skia upumbavu aliouongea kuhusu Russia huko kwenye kikao cha amani 👇
View: https://youtu.be/QcmyLvgazfs?si=yYFE7GZK-0xBZ9od.

Mkuu hata Mimi siungi mkono matendo ya Urusi.Historia inaonesha toka enzi na enzi Urusi ni kabaila.Alishai inyang'anya Finland 11% ya Ardhi yake,2008 Kuna eneo kapora Georgia kimabavu,Kuna kisiwa cha Kalingard nacho alipora kutoka Sweden.Sasa Putin anaweka sharti la Ukraine Ijiondoe kutoka kwenye mikoa minne yaani Ukraine ijiondoe Ukraine huu ni uhuni
 
Back
Top Bottom