Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nime save comment yako, alafu wewe kima usitafute sababu ya ku left jf, mbona mlisha sign mkataba wa kuuziwa umeme na Tz? Hujui hilo au unajifanya mwehu?
Hajui transmission line ya Singida Arusha is ongoing iko 55% soon wataanza vikao vya kununua umeme. Tena jinsi umeme wetu ulivyo cheap udenda unawatoka sana na mkae mkujua gesi hatuleti huko tunawauzia finished products tuu.
 
Wewe ni mpumbavu members, sisi hatupo hapa kuandika uongo ili tujifariji kama unacyofanya wewe mbwa.. tafuta facts then leta hapa tufanye compariso..

Kama unataka kujifariji ruhsa. 🤣🤣🤣🤣

Mana kuanzia uone Sgr yetu imeanza operation unaumia vibaya.. huyu chizi alitabiri tutasubiri hadi 2030 🤣🤣 njoo hapa mtu mzima mpumbavu Don YF
Wewe mbwa uko na fare ama una bweka bweka kiholela, lione lipumbavu fukara😆😆😆😆, litreni linewachukua miaka hii yote, kasehemu kadogo hauna aibu!! ona hili linyani..,
 
Mpumbavu huyu atawa cost wakunya wenzie, hizo nchi zilizokutana hapo zote hawaongelei chakula wameshatoka huko karne nyingi zilizopita. Mawazo yake nayaelewa, anataka ukaribu na US ili apewe msaada kutoka US, yn ndoto zake anataka siku moja Kenya ifadhiliwe na US kama Saudi Arabia, sasa cha kuchekesha zaidi ni kwamba Saudi Arabia kuna mafuta kule, US afadhali Kenya alafu atapata nn in return? US hana rafiki wala adui wa kudumu hilo alielewe.
Ila kuna faida Marekani waniona kwa wakunya. Kama umegundua taratibu wanaigeuza kuwa camp la vita zijazo
 
Tukinunua umeme vumbistan naondoka JF.
Taratibu kijana twende pole pole mtanunua tuu mpende msipende when faced with economic meltdown due to unreliable power you will come begging kiburi aside na hapo ndio tutaweka terms za kibepari kuliko za kiundugu tunazofanya huku SADC.
 
Wewe mbwa uko na fare ama una bweka bweka kiholela, lione lipumbavu fukara😆😆😆😆, litreni linewachukua miaka hii yote, kasehemu kadogo hauna aibu!! ona hili linyani.., Kisha bei imewekwa ya viongozi na matajiri, nyie mikwara bakini kwa dala dala na mabasi., hii ni ya anasa., 😆😆😆
Wewe kima nimekua nikisafiri kwenda kondoa (dodoma) kwenda kununua mbuzi like every week nilete pugu mnadani, nauli ya basi ni 35k na safari ni masaa tisa, nije nishindwe kupanda treni yenye nauli ni 35k kwa safari ya masaa matatu.? 🤣🤣🤣 gharama ya nauli kila mbuzi mmoja nikiwapandisha kwenye truck ni around 5k t sh kila mbuzi mmoja, imagine ni kiasi gani nitatumia kwenye naulibtu kusafiri mimi na mbuzi wangu.? Gharama za nauli za kawaida hizi hapa 👇Google Image Result for https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/FjiUEjwWIAEAbVv.jpeg.

Ulipiga kelele humu ooh tutaanza operation ikifika 2030, si wewe.? Sasahiv tena unakuja tena ooh kasehem kadogo, 🤣🤣🤣 sasa treni ni yetu, sisi ndio operators, haraka za nini.? Lazima tupate vitu perfect zenye nyie kunguni mnaishia kuona kwenye TV tu. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8RHNyvtmwb/?igsh=andtN2wyYndmMWlh. Umia polepole.
 
Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!

-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Usiwe na haraka. Umeme utatumika tu. Ni bora kuwa na excess kuliko kutokuwa nao kabisa na kukimbilia kuombaomba nchi jirani kama mnavyofanya.
Tanzania ni developing country bado kuna miradi kibao itajengwa kutumia huo umeme.
Tena ni jambo la kupongezwa kuwa na umeme excess.

Haya mambo internal ya Tanzania achana nayo. Tutajua tutakavyoishauri serikali ipinguze za unit za umeme.
 
Wewe kima nimekua nikisafiri kwenda kondoa (dodoma) kwenda kununua mbuzi like every week nilete pugu mnadani, nauli ya basi ni 35k na safari ni masaa tisa, nije nishindwe kupanda treni yenye nauli ni 35k kwa safari ya masaa matatu.? 🤣🤣🤣 gharama ya nauli kila mbuzi mmoja nikiwapandisha kwenye truck ni around 5k t sh kila mbuzi mmoja, imagine ni kiasi gani nitatumia kwenye naulibtu kusafiri mimi na mbuzi wangu.? Gharama za nauli za kawaida hizi hapa 👇Google Image Result for https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/FjiUEjwWIAEAbVv.jpeg.

Ulipiga kelele humu ooh tutaanza operation ikifika 2030, si wewe.? Sasahiv tena unakuja tena ooh kasehem kadogo, 🤣🤣🤣 sasa treni ni yetu, sisi ndio operators, haraka za nini.? Lazima tupate vitu perfect zenye nyie kunguni mnaishia kuona kwenye TV tu. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8RHNyvtmwb/?igsh=andtN2wyYndmMWlh. Umia polepole.

Fact remains, kasehemu kadogo kamewachukua miaka mingi mno., picha ya ufukara, uchumi hafifu.., budget ya taifa mnahitaji boost ya over 40% kutoka kwa loans, ilhali Kenya tunahitaji 3.6% pekee ya loans, we can borrow internally., mbwa Koko nyie, jinyonge masikini, 200km miaka sita plus!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!

-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Usiwe na haraka. Umeme utatumika tu. Ni bora kuwa na excess kuliko kutokuwa nao kabisa na kukimbilia kuombaomba nchi jirani kama mnavyofanya.

Halafu kwa nini mnapenda kujipa umuhimu? Sisi hatujajenga bwawa kuwauzia kenya wala nchi yeyote. Tumejenga kwa ajili yetu na bado tutajenga miradi mingine tu
Tanzania ni developing country bado kuna miradi kibao itajengwa kutumia huo umeme.
Tena ni jambo la kupongezwa kuwa na umeme excess.

Haya mambo internal ya Tanzania achana nayo. Tutajua tutakavyoishauri serikali ipinguze za unit za umeme
 
Fact remains, kasehemu kadogo kamewachukua miaka mingi mno., picha ya ufukara, uchumi hafifu.., budget ya taifa mnahitaji boost ya over 40% kutoka kwa loans, ilhali Kenya tunahitaji 3.6% pekee ya loans, we can borrow internally., mbwa Koko nyie, jinyonge masikini, 200km miaka sita plus!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
Unafurahisha 🤣🤣 by the way next month tunazindua treni ya Dar-Makutopora, around 700+ km..

Nikija kwenye suala la bajeti, hizo number kubwa kwenye bajeti yenu zimewasaidia kufanya nini so far.? How many bigger projects going on in Kenya currently...? 🤣🤣🤣 nasubiri majibu.
 
Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!

-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Nyie watu mna wivu mbaya sana. Kwahio Tz imejenga bwawa ili nyinyi mnunue? Unafikiri matumizi yetu yatabaki yale yale?
 
Back
Top Bottom