Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hela za ndani na deni limefika 35bn USD. Tayari suluhu ashakopa 2.5bn kutoka Korea.
IMG_20240616_134205.jpg
 
Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida

na hapo ndipo catch ilipo, hawawezi kupunguza bei ya umeme kwa maana hivyo ndivyo jinsi wanalivyolipa mikopo wanayochukuwa kila siku na riba juu, guarantee pekee ya hii mikopo ni kodi wanazokatwa wananchi ambapo serikali wanaweza kuongeza kodi muda wowote na ndiyo maana ni rahisi kupewa mikopo kwa maana ni lazima italipwa kwa kodi mpaka hata pension inatumika kama guarantee, unafikiri kwa nini mwigulu anatembea na ving‘ora?
 
Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida
Wacha umeme uende Zambia hawa nyangau wakachukue huko Ethiopia ambao wameshindwa hata ku meet demand ya Kenya.
 
Magufuli alisema bwawa likianza uzalishaji lazima umeme ushuke bei, cha kushangaza mamlaka zimekaa kimya juu ya hilo, hakuna hata mmoja anayeongelea kuhusu kushuka kwa bei ya unit ya umeme.
Bado mkuu mdogo mdogo ndio kwanza units 2 ndio ziko online the rest zikikamilika ndio totakaa chini ku chart out new tariffs. But still our electricity ni cheap kwa EA. Kenya unit Kwh ni 0.22 dollars while TZ ni 0.11.
 
Back
Top Bottom