Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafurahisha 🤣🤣 by the way next month tunazindua treni ya Dar-Makutopora, around 700+ km..

Nikija kwenye suala la bajeti, hizo number kubwa kwenye bajeti yenu zimewasaidia kufanya nini so far.? How many bigger projects going on in Kenya currently...? 🤣🤣🤣 nasubiri majibu.
200km 6years plus, sasa 700km je?.., hehehe , utazeeka., ulikua mtoto mdogo sasa wewe ni lizee., by the time mnakamilisha 700km utakua nini?.., 😂😂😂., ufukara wenu haunisumbui wala kunikosesha usingizi,.., vumilia mlipo, mtafika siku moja., eti miradi mikubwa kukamilisha balaa ., hehehe
 
Wewe una matatizo si bure, nimekwambia mwezi ujao tutafungua safari ya dar-makutopora 700+km journey.. na nauli zimeshapangwa 🤣🤣🤣 wewe unaongelea mimi kuwa mzee.? 👇
Screenshot_20240616_180657_Gallery.jpg
🤣🤣 au umeanza kuchanganyikiwa .?The distance from dar to Makutopora is around 700+ km soma hii article and do the maths 👇
Screenshot_20240616_181014_Chrome.jpg
 
200km 6years plus, sasa 700km je?.., hehehe , utazeeka., ulikua mtoto mdogo sasa wewe ni lizee., by the time mnakamilisha 700km utakua nini?.., 😂😂😂., ufukara wenu haunisumbui wala kunikosesha usingizi,.., vumilia mlipo, mtafika siku moja., eti miradi mikubwa kukamilisha balaa ., hehehe
Kwahiyo ulikuwa huoni tunavyopost maendeleo ya SGR Tz? Kwamba hujui tulikuwa tunajenga phase zote kwa wakati mmoja? Btw, co nyinyi mlikuwa mkitaka tuwaoneshe 1cm ya SGR Tz? Now mmebadili wimbo, dozi zinaendelea mpaka mtii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vumbistan is a hostile state, mlileta wenyewe policy kwamba Kenyan traders wasinunue mahindi directly kwa wakulima mpaka watumie local company, matokeo yake ni Maize imports from Tanzania decline sharply.
Nyinyi mnataka kufanya biashara zinazowanufaisha nyinyi tu. Nyinyi ni wabinafsi balaa.

Kwa nini local company za Tanzania zisiwauzie hapo mipakani? Mtanzania anaweza enda kirinyaga au thika akanunua nanasi alete Tanzania apark kwa label made in Tanzania na auze anakotaka nyinyi mumuangalie tu mlivyo na roho Mbaya?
Si hadi watauawa huko kenya?
 
Kwahiyo ulikuwa huoni tunavyopost maendeleo ya SGR Tz? Kwamba hujui tulikuwa tunajenga phase zote kwa wakati mmoja? Btw, co nyinyi mlikuwa mkitaka tuwaoneshe 1cm ya SGR Tz? Now mmebadili wimbo, dozi zinaendelea mpaka mtii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kijamaa eti kinajifanya hakiijui kinachoendele 🤣🤣🤣 kanajitoa ufahamu.
 
Wewe una matatizo si bure, nimekwambia mwezi ujao tutafungua safari ya dar-makutopora 700+km journey.. na nauli zimeshapangwa 🤣🤣🤣 wewe unaongelea mimi kuwa mzee.? 👇View attachment 3018799🤣🤣 au umeanza kuchanganyikiwa .?The distance from dar to Makutopora is around 700+ km soma hii article and do the maths 👇View attachment 3018810
Wacha kupotosha nawe lot 4 iko U/C
 
Mkiambiwa NBC PREMIER LEAGUE NI KUBWA HAMTAKUJA IFIKIA MNABISHA CHEKI HII

Wachezaji wanaotumikia timu za Taifa kutoka NBC Premier League world Cup Qualifiers.

Singida Blackstars (Ihefu)

1. Duke Abuya (Kenya na mfungaji pekee wa Goli la Burundi)
1000026312.jpg

2. Benjamin Tanimu (Nigeria ameingia first Eleven)
1000026310.jpg

3. Amadou momade (Mozambique)
1000030321.jpg

4. Benson Mangolo (Botswana Starting)
1000026316.jpg

5. Marouf Tchakei (Togo First Eleven)
1000026322.jpg

Namungo Fc

1. Derick Mukombozi (Burundi First team)

2. Nahimana Jonathan (Burundi first Team GK)
1000026325.jpg

Azam FC
Wengi Taifa Stars, hawajapost walioitwa

Yanga Sc

1. Djigui Diara (Mali best Player)
1000030323.jpg

2. Khalid Aucho (Uganda anajulikana mpaka ni Captain)

3. Ki Aziz (Burkina Faso)
1000030325.jpg

Pacome Zouzua (Ivory Coast Aliitwa March)

Simba SC
Kutokua na msimu mzuri umefanya baadhi ya wachezaji wasiitwe japo huko nyuma walikua wanaitwa, Taifa stars tu ndio imeita.

Ntibanzokiza Said (Burundi)
1000026325.jpg

Wachezaji Kutoka Mabara Mengine Waliokuja NBC Premier league

AMERICA KUSINI

Yanga:
1. Genilison Santos (Jaja) (Brazil)
2. Andrey Countinho (Brazil)
1000030327.jpg

1000030326.jpg

Simba.
1. Gerson FRAGA (Brazil)
2. Tairone Zeguiero (Brazil)
4. Wilker Da Silva (Brazil)
1000030328.jpg

1000030329.jpg

Singida Big Stars
Wote Wabrazil.
1. Peterson Da Cruz (PEU)
1000030330.jpg
1000030331.jpg
1000030332.jpg
1000030333.jpg

2. Dario Federico
1000030335.jpg
3. Bruno Gomez
1000030334.jpg

Azam FC

1. Franklin Navarro (Colombia)
1000030336.jpg

2. Yeison Fuentes (Colombia)
1000030337.jpg

3. Ever Meza (Colombia)
1000030338.jpg

Wote wapo wanakipiga new signings.

EUROPE

Yanga

1.Obren Curkovic (Serbia)
1000030339.jpg

Simba
1. Dejan (Serbia)
1000026348.jpg

1000030340.jpg

1000030341.jpg

Asia

Geita Gold Mine

1. Shinoubu Sakai (Japan)
1000030342.jpg

North Africa Inasifika Kimchezo Ila tunaweza waleta watu kutoka vilabu vyao bila nongwa, Now Timu za Tanzania zina uwezo wa kumleta mchezaji wa Ndani ya Bara hili even if ligi ni maarufu.

1. Ayoub Lakred ( FAR RABAT)
1000030343.jpg

2. Fabrice Ngoma (RAJA CASABLANCA)
3. PACOME ZOUZUA (ASEC MIMOSAS)
4. KI AZIZ (ASEC MISOSAS)

Na hii NBC PREMIER LEAGUE mchezaji hawazi kuhusu timu ya Taifa akiperform kuitwa inawezekana tu. Hamuoni hapo Nigeria ina mastaa ulaya wa kutosha ila TANIMU Wa singida huku kaingia first Eleven

Ligi ipo top Ten kwa timu with the Most Social Media Followers Africa.

Ligi ya NBC ni moja ya Ligi zinazopeleka timu 4 mashindano ya CAF, timu mbili zinaanzia hatua ya mwisho.

KPL LEVEL HIZI MTAFIKA LINI?

Sasa hapo pote Ligi ikiitwa ya 5 mnaona nongwa.
 
Attachments

  • 1000026325.jpg
    1000026325.jpg
    196.8 KB · Views: 5
  • 1000030325.jpg
    1000030325.jpg
    312.1 KB · Views: 6
Nime save comment yako, alafu wewe kima usitafute sababu ya ku left jf, mbona mlisha sign mkataba wa kuuziwa umeme na Tz? Hujui hilo au unajifanya mwehu?
Yule fala aliekula ban alisworn kuhusu sgr yetu,alipoanza kuona zile trial akawa kama chizi anapinga kila kitu,ile kuanza route za uhakika dar-moro kichaa cha wivu kikampanda zaidi akala ban saa hizi yuko zake mathare mental institute ameanza upya dose zake za methadone baada ya kuzikacha kwa muda mrefu,bado kale kadada komora Rhaenyra Targaryen siku yake na chenyewe kichaa cha wivu kitampanda na roho yake chafu
 
Akisworn ndo nn?
 
Nyinyi mnataka kufanya biashara zinazowanufaisha nyinyi tu. Nyinyi ni wabinafsi balaa.

Kwa nini local company za Tanzania zisiwauzie hapo mipakani? Mtanzania anaweza enda kirinyaga au thika akanunua nanasi alete Tanzania apark kwa label made in Tanzania na auze anakotaka nyinyi mumuangalie tu mlivyo na roho Mbaya?
Si hadi watauawa huko kenya?
Mnapenda kulialia
 
Back
Top Bottom