Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndivyo walivyo. But I think it shows they hold us to higher standards than they do themselves which means they feel we are better than them because even in arguments, they're okay with their people engaging in stupid arguments but are quick to call a Kenyan mshamba when he does a half of that.
Wewe huwa unaniogopa siku zote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_0271.jpeg
    IMG_0271.jpeg
    600.3 KB · Views: 12
Nimeiona .more than half ni madeni tuu mengine ni carryover ya last year.
Na sisi kama Mwigulu atabaki kuwa waziri wa fedha tutegemee kuwa wadaiwa wakubwa.Tunahitaji waziri mbobevu wa mambo ya Uchumi.Toka amengia hajawahi toa hotuba ya Uchumi inaonesha Dira ya taifa lenye kuwa na Uchumi mkubwa na reserve ya kutosha.
 
hehehe hela zetu hawapati...wapelekee poor countries like malawi and zambia
 
Na sisi kama Mwigulu atabaki kuwa waziri wa fedha tutegemee kuwa wadaiwa wakubwa.Tunahitaji waziri mbobevu wa mambo ya Uchumi.Toka amengia hajawahi toa hotuba ya Uchumi inaonesha Dira ya taifa lenye kuwa na Uchumi mkubwa na reserve ya kutosha.
Una maanisha nini? Mwigulu anatafuta pesa,Wizara ya mipango ipo au sijakuelewa?

Ni awamu hii ya Mwigulu ndio Bajeti ya Nchi imeongezeka Kwa 13T na ni awamu hii ndio imemwaga pesa kuwahi tokea na ndio awamu hii ambayo imekuza Mapato ya TRA kutoka 1.5T mwaka 2020/21 Hadi 2.5T mwaka 2024/25 na ndio awamu hii ambayo uchumi umekuwa kutoka Dola Bilioni 70 Hadi Dola Bilioni 80 na Mwaka ujao itakuwa Dola Bilioni 85.
 
Wamekuwa wakijigamba hapa kumbe tukikataa kununua hizo foodstuffs zao bado wanalia.
Wewe hujaona mauzo ya chakula nje ya nchi yameongezeka kuliko mwaka jana pamoja na kwamba mmenunua kidogo mwaka huu.
So sisi haituumizi chochote mwenye kuhangaika ni nyie mtafute chakula toka sehemu mbalimbali na pia kama hujui Ruto amepunguza budget ya maendeleo hususan infrastructure na ku prioritize relief food.
 
Back
Top Bottom