Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

“Reli yetu ya kisasa SGR itakuwa reli ya tano duniani kwa urefu baada tu ya China; km 40,493, Hispania; km 3,917, Japani; km 3,146, Ufaransa; km 2,735 na Tanzania; km 2,080, ikifuatiwa na Ujerumani; km 1,631, Uturuki; km 1,232 na Finland; km 1,120. Na itakuwa reli ndefu kuliko reli zote duniani kwa nchi zinazoendelea.” – Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.

View attachment 3017037
Hivo ndio mlidanganywa? 😂
 
Vumbi nation 😂😂😂
IMG_20240613_182847.jpg
IMG_20240613_182842.jpg
IMG_20240611_190502.jpg
 
Hadi Uganda imewshinda na budget? Kweli Tanzania ni nchi maskini. I'm sure out of $18B 41% of it will b financed using grants.
2/3 ya Uganda Budget ni mikopo mipya,interests repayment na debt financing.😂😂👇👇
Screenshot_20240614-065909.jpg
Screenshot_20240614-070243.jpg


Kundustan is even worse.👇👇

View: https://twitter.com/DailyMonitor/status/1801523793233396009?t=Mo1gAJeyKhgQ54m3wzVFCA&s=19

Tanzania tuu ndio tuna budget ya Maendeleo sio kama nyie kima mlioshindwa Hadi Kuajiri 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8KRI8JNS_D/?igsh=MXJ1c2Q0dW54bDd3eg==
 
Kinafanyiwa matengenezo. Also siyo kimoja tu vipo vivuko vingine.

Je, ulisoma nauli zetu na ratiba ya kwenda Morogoro?

View attachment 3017061
Nimekuambia kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize mbona leo SGR yao hailinganishwi na ya Kenya.
Tuwe na bandari kubwa EAC alafu utake kushindana na sisi kwenye uchukuzi.
Muna akili nyinyi kweli!?
 
Timu kubwa kama Simba, Yanga, Tp mazembe, hawawezi kushiriki mana ratiba zinawabana, Yanga na simba ndio zilikuwa za kwanza kuto ku confirm lkn timu zingine zisizo na ratiba ngumu kama Gor Mahia na Al merreikh n.k zilisha confirm
Watchman nenda ukacharge torch. Unapiga kelele hapa na bado hujaosha hata sare zako za kazi.

Screenshot_20240222-230043_1.jpg

Screenshot_20240222-225028_1.jpg

Screenshot_20240222-225051_1.jpg
Screenshot_20240222-225124_1.jpg
 
Back
Top Bottom