Our infrastructure budget is bigger than last year's. So sijui unaongelea infrastructure gani.Wewe hujaona mauzo ya chakula nje ya nchi yameongezeka kuliko mwaka jana pamoja na kwamba mmenunua kidogo mwaka huu.
So sisi haituumizi chochote mwenye kuhangaika ni nyie mtafute chakula toka sehemu mbalimbali na pia kama hujui Ruto amepunguza budget ya maendeleo hususan infrastructure na ku prioritize relief food.
hehehe hela zetu hawapati...wapelekee poor countries like malawi and zambia
Tanzania inauza sana mazao yake SADC wala sio EA msijipe umuhimu ambao hamna.hehehe hela zetu hawapati...wapelekee poor countries like malawi and zambia
Kilichoongezeka ni nini hapo mbona mnapenda sifa za kijinga?Our infrastructure budget is bigger than last year's. So sijui unaongelea infrastructure gani.
Budget ya Kenya's infrastructure this year is half Tanzanian total budget.
According to the minister of finance Kenya for every 10 shilling 6 shilling inaenda kwa madeni sasa kwenye budget ya 31bn dollars including loans inabaki 12bn dollars ndio budget ya kuendeshea nchi kweli mishahara, countries, development etc.Our infrastructure budget is bigger than last year's. So sijui unaongelea infrastructure gani.
Budget ya Kenya's infrastructure this year is half Tanzanian total budget.
Huyo huwa ni mwendawazimu achana naye.Kilichoongezeka ni nini hapo mbona mnapenda sifa za kijinga?
![]()
Infrastructure projects budget cut by Sh45.3bn
The government has cut the budget for infrastructure projects by 15.7 percent.www.businessdailyafrica.com
Tanzanians are now taking that lion share everywhere
View: https://www.instagram.com/reel/C76ylNctR4V/?igsh=N3k4YjA0dXl1d2pp
Kagame Cup embarrassment ...
View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1801292095946195244?t=B_-0QAULgF8kC-xWvKeY2g&s=19
Kagame Cup embarrassment ...
View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1801292095946195244?t=B_-0QAULgF8kC-xWvKeY2g&s=19
Kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize waliishia wapi. Huu ndio muda mmebakia nao kabla vilio vianze.Umeona lakini Electric Trains zetu? Maana naona umeanza kujikausha 🤣 🤣 🤣 🤣