Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi huwa sipigi food picha. I’m not primitive like most of you here. Leo nimeamua kuwakera and with that let me post a payment receipt ya last month😂😂😂
Wewe unafikiria kutuma pay lip. Huku watu wanataka kukutumia income statement na balance sheet.

Huna jipya wewe. Mtu gani hata tofauti ya shawarma na chapati hujui 😂😂
 
Hata kama ni ofisi ya uchawi siwezi kubali utumbo kama huo. Nyang'au wewe!! Document hata kiweka proper seal au stamp ya lawyer huwezi?? Huki muhuri wa lawyer tunagonga hata kwa 20,000 tu.
Ngoja siku ntakujia uganga ndio uniambie hizo ujinga zako.
 
Wewe unafikiria kutuma pay lip. Huku watu wanataka kukutumia income statement na balance sheet.

Huna jipya wewe. Mtu gani hata tofauti ya shawarma na chapati hujui 😂😂
Pay lip ni nini?😂😂😂

Sasa smocha na soda ya 110 ni kitu ya mtu kukosa kujua? When last did you eat lunch ya even 500 bob?😂😂
 
Asante for contradicting yourself. So JKIA Haina buildings where passengers board and disembark from planes? JKIA has more than 5 terminals in a circular building and another 1 terminal in temporary separate building.
Show us those terminals nitoke JF sasa hivi maneno mengi ya nini?
 
Wewe kima uwanja wa ndege haueezi kutajwa kuwa na terminals mbili au tatu kama hizo majengo sio separate, otherwise ukitaka iwe hivyo ni vichumba ti vilivyopewa majina kwamba ni terminals kama mnavyofanya hapo taifa la kipumbavu. 🤣🤣🤣 there's only single terminal in JKIA
Wazee wa kupaka rangi na kuiita BRT hii designation yao ya terminal ni similar na BRT ya kuchora 🤣🤣🤣🤣
 
Show us those terminals nitoke JF sasa hivi maneno mengi ya nini?
Terminal 1A

1718268983596.jpeg

1718269006439.jpeg
 
Hao wanafikiria terminals lazima zikuwe separated buildings in different locations 😂😂😂
Wewe kima uwanja wa ndege haueezi kutajwa kuwa na terminals mbili au tatu kama hizo majengo sio separate, otherwise ukitaka iwe hivyo ni vichumba ti vilivyopewa majina kwamba ni terminals kama mnavyofanya hapo taifa la kipumbavu. 🤣🤣🤣 there's only single terminal in JKIA
Jua kali terminals 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom