Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujeni muone mshamba mwingine hajui, single terminal airport ni nini. 🤣🤣🤣 Wabongo hua munalack exposure sana.

Single Terminal Big Airports

Istanbul Airport

Photos of Istanbul's Huge New Airport Offer a Look at Modern Turkey's Huge New Airport Offer a Look at Modern Turkey

Hata hio Daxing unataja is a single terminal airport. Wewe ni kama hujui terminal ni nini ju hujawai tumia ndege maishani mwako. 🤣🤣🤣

The Inspiring Architecture of Beijing Daxing Airport
Hao wanafikiria terminals lazima zikuwe separated buildings in different locations 😂😂😂
 
Hao wanafikiria terminals lazima zikuwe separated buildings in different locations 😂😂😂
Wewe kima uwanja wa ndege haueezi kutajwa kuwa na terminals mbili au tatu kama hizo majengo sio separate, otherwise ukitaka iwe hivyo ni vichumba ti vilivyopewa majina kwamba ni terminals kama mnavyofanya hapo taifa la kipumbavu. 🤣🤣🤣 there's only single terminal in JKIA
 
Good morning Kibanda Gang.

Remember I don't engage poor people with no bed.

Kind regards.
 
Kujeni muone mshamba mwingine hajui, single terminal airport ni nini. 🤣🤣🤣 Wabongo hua munalack exposure sana.

Single Terminal Big Airports

Istanbul Airport

Photos of Istanbul's Huge New Airport Offer a Look at Modern Turkey's Huge New Airport Offer a Look at Modern Turkey

Hata hio Daxing unataja is a single terminal airport. Wewe ni kama hujui terminal ni nini ju hujawai tumia ndege maishani mwako. 🤣🤣🤣

The Inspiring Architecture of Beijing Daxing Airport
Sasa wewe mpumbavu kwasababu Istanbul kuna single terminal unataka na wewe uwe na single? Kwa airport gani mliyonayo? Hao developed countries airport zao ni kubwa na ndiyo maana hawahitaji kuwa na terminals zaidi ya moja cz zinajitosheleza, Africa vi airport vyetu tulivijenga kutokana na uchache wa abiria, so ni lazima tujenge terminals zaidi ya moja kulingana na ongezeko la abiria, nyie mna ka terminal kamoja tangu mkoloni kama tu ilivyo ikulu ya mkoloni, mahakama za mkoloni, bunge la mkoloni. Not yet Uhuru in Kenya the failed state.
 
Wewe uko na Kitanda? Mwenzako tumeona hana, wewe uko nayo?
Yani we jamaa maneno unayoongea humu unaonekana ni mtu wa aina gn, inaoneka umetokea maisha magumu sanaa aisee, kitanda ni kitu cha kuongelea kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani we jamaa maneno unayoongea humu unaonekana ni mtu wa aina gn, inaoneka umetokea maisha magumu sanaa aisee, kitanda ni kitu cha kuongelea kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ndio wale wa kulala kwa floor?😂😂😂😂

Pesa ya watchman yenye unalipwa haikutoshi kununua bed?
 
Poverty mentality ni kitu mbaya sana.

Nunua kitanda kijana. Alafu uache kujilinganisha na wenye wekushinda.
Wewe tulishakuweka katika kundi la watu useless duniani. Kwa kukusaidia unatakiwa uwe unakula samaki aina ya sato kwa muda wa miaka mitano at least akili yako itafikia 10% ya standard ya akili ya watu.
 
Back
Top Bottom